Ni mambo gani yaliyowakumba wale ambao kitovu chao si hicho?

      

RIWAYA:CHOZI LA HERI –Asumpta K. Matei

" Lakini itakuwaje historical injustice, nawe Ridhaa, hapo ulipo sicho kitovu chako?"

Ni mambo gani yaliyowakumba wale ambao kitovu chao si hicho?

  

Answers


Maurice
(i) Walichomewa nyumba zao kwa mfano Ridhaa alichomewa jumba lake la kifahari.

(ii) Watu wao waliuwawa kwa mfano familia ya Ridhaa ilichomwa na Bwana Kedi jirani yao.

(iii) Walikimbia na kutorokea msituni.

(iv) Watoto wao walibakwa kwa mfano mabinti zake Kaizari walibakwa na vijana wenzao.

(v) Walitoroka kuacha makwao wakawa maskwota.
maurice.mutuku answered the question on August 3, 2019 at 09:31


Next: Fafanua umuhimu wa msemaji wa maneno haya
Previous: Maovu yametamalaki katika jamii ya Riwaya ya Chozi la Heri, tetea kauli hii kwa kutolea hoja kumi.

View More Kiswahili Questions and Answers | Return to Questions Index


Exams With Marking Schemes

Related Questions