Eleza muktadha wa dondoo hili

      

“Tumbo Lisiloshiba na hadithi nyingine”
“Akanyangapo chini ardhi inatetemeka…………………..
Amejitia hamnazo. Kabwela kama mimi nina faida gani?


Eleza muktadha wa dondoo hili

  

Answers


Maurice
(a) Eleza muktadha wa dondoo hili

(i) Msemaji - mawazo yake Dennis

(ii) Alikuwa anarejerea Shakira

(iii) Mahali - Katika afisi ya Shirika la kuchapisha magazeti

(iv) Tukio - Ni baada ya kumwona mamake Shakira (pandikizi la mama) akipita huku akisubiri kufanya mahojiano.
maurice.mutuku answered the question on August 3, 2019 at 11:07


Next: Eleza matumizi ya mbinu zifuatazo katika tamthilia hii:(i) Jazanda(ii) Sadfa(iii) Mbinu rejeshi (iv) Wimbo
Previous: Fafanua mbinu tatu za lugha zilizotumiwa katika dondoo hili

View More Kiswahili Questions and Answers | Return to Questions Index


Exams With Marking Schemes

Related Questions