Fafanua mbinu tatu za lugha zilizotumiwa katika dondoo hili

      

“Tumbo Lisiloshiba na hadithi nyingine”
“Akanyangapo chini ardhi inatetemeka…………………..
Amejitia hamnazo. Kabwela kama mimi nina faida gani?

Fafanua mbinu tatu za lugha zilizotumiwa katika dondoo hili

  

Answers


Maurice
Fafanua mbinu za lugha zilizotumiwa katika dondoo hili

(i) Chuku - Akanyagapo chini, ardhi inatetemeka.

(ii)Taswira - picha ya ardhi ikitetemeka

(iii) Msemo/ Nahau - kujitia hamnazo
maurice.mutuku answered the question on August 3, 2019 at 11:12


Next: Eleza muktadha wa dondoo hili
Previous: Eleza madhila kumi yaliyompata Kabwela

View More Kiswahili Questions and Answers | Return to Questions Index


Exams With Marking Schemes

Related Questions