Get premium membership and access questions with answers, video lessons as well as revision papers.

Eleza madhila kumi yaliyompata Kabwela

      

“Tumbo Lisiloshiba na hadithi nyingine”
“Akanyangapo chini ardhi inatetemeka…………………..
Amejitia hamnazo. Kabwela kama mimi nina faida gani?

Eleza madhila kumi yaliyompata Kabwela

  

Answers


Maurice
(i) Anakosa kazi katika shirika la magazeti

(ii) Kuachwa na Penina

(iii) Kukejeliwa na Daktari Mabonga

(ii) Hapewi pesa za masurufu na wazazi

(v) Kushindwa kujibu maswali wakati wa mahojiano – anaaibika

(vi) Njaa – Anaamua kupika uji

(vii) Hana nguo za kisasa/ simu/tarakilishi na kadhalika

(viii) Anasumbuka kiakili kwa sababu ya hali /asili/umaskini

(ix) Kufukuzwa na Penina

(x) Shuka zake zimechanika
maurice.mutuku answered the question on August 3, 2019 at 11:19


Next: Fafanua mbinu tatu za lugha zilizotumiwa katika dondoo hili
Previous: Jadili ufaafu wa anwani: Tumbo lisiloshiba kwenye hadithi hii

View More Kiswahili Questions and Answers | Return to Questions Index


Learn High School English on YouTube

Related Questions