Get premium membership and access questions with answers, video lessons as well as revision papers.
(i) Asivunjwe moyo anapokabiliana na mashairi magumu.
(ii) Atupilie mbali dhana kuwa ushairi ni mgumu.
(iii) Kuyapenda mapema na kufanya mazoezi.
(iv) Ajaribu kutunga mashairi.
(v) Ajihami na msamiati.
maurice.mutuku answered the question on August 5, 2019 at 06:24
- Ni mambo gani yanayochangia kuanguka kwa mwanafunzi katika swali la ushairi?(Solved)
Katika kila kiwango, wanafunzi huonekana kama wana shida kubwa sana katika kuyachambua mashairi. Hali hii ni matokeo ya mambo mengi. Yaweza kuwa mashairi waliyokutana nayo mara ya kwanza yalikuwa magumu, au yalikuwa yamechanganya Kiswahili sanifu na lahaja zingine ambazo wasomi hawangezielewa moja kwa moja.
Jambo hili huwakatisha wanagenzi tamaa hasa wanapokosa kulipata katika kamusi msamiati uliotumika. Wanapotamauka, wao huwa hawataki kujishughulisha na mashairi. Huu ndio mwanzo wa kuanguka kwao katika mtihani kwa vile wengi wao hulazimika kukutana na mashairi kwa mara ya kwanza katika chumba cha mtihani. Hiki ni kinyume cha jinsi mambo yanavyostahili kuwa. Ukweli ni kuwa mashairi yanastahili kuwaburudisha wasomi pindi wakutanapo nayo.
Madai kuwa mashairi ya Kiswahili ni magumu kufahamika isipokuwa kwa watu maalum wenye vipawa maalum hayafai. Mwanafunzi ambaye anataka kufanya vizuri katika swali la mashairi ni lazima aanze kuyapenda mapema iwezekanavyo. Ni muhimu aazimie kuyapenda hasa ajuapo kuwa atatahiniwa katika sehemu hii. Kwa vile hana njia ya kuyaepuka,azingatie msemoi wa wazungu usemao kuwa kama hupati upendacho, anza kupenda kile ukipatacho. Ili kuchochea upendo ndani yake, asijishughulishe nayale mashairi ambayo anayaona kama ni magumu. Ajaribu kuyaelewa yale ambayo anayaelewa na kuudondoa ule ujumbe ambao yameubeba na vile vile ajaribu kuufurahia utamu wa maneno yaliyotumika. Atalipata hili kwa kuyasoma kwa sauti. Kila mara, akumbuke kwamba kadiri atakavyokutana na mashairi mengi ndivyo atakavyofurahia na kuyaelewa.
Pili, akikutana na shairi, asishtushwe na msamiati au lahaja iliyotumika. Hata kama haelewi msamiati uliotumika, ajaribu kuelewa ujumbe uliomo katika shairi. Hata hivyo, lazima ajihami na msamiati mwingi iwezakanavyo. Isitoshe, ni muhimu katika mazoezi yake kujaribu kuandika mashairi yake mwenyewe ili aelewe ni kwa nini waandishi huyaandika mashairi jinsi wanavyoandika;Atagundua kwa nini waandishi huyarefusha, huyafupisha au huyabadilisha maana ya maneno mbalimbali.
Ni mambo gani yanayochangia kuanguka kwa mwanafunzi katika swali la ushairi?
Date posted: August 5, 2019. Answers (1)
- Eleza maana ya msamiati ufuatao kama ulivyotumika katika mashairi.
(i) Ja
(ii) Sharuti
(iii) Utukufu
(iv) Baidi(Solved)
SHAIRI A: HOFU YA BIN-ADAMU
Hofu za wanyonge, ni nguvu za matajiri,
Ambazo zinawaponda, wanapotaka usawa.
Hofu ya watawala, ni kupoteza uhuru,
Wa kutawala kwa mbavu, pamoja na utukutu.
Hofu za mwanamke ,mwanamke wa sasa,
Ni kutumiwa ja rungu, daima kuwekwa nyuma.
Hofu za mmcha-mungu, ni maisha ya baadaye,
Maana hana hakika, ndio aogopa kifo.
Hofu za wasomi, ni kwamba wako baidi,
Na wale wateteao, ambao ni sawa nao.
SHAIRI B: AMANI
Uhuru pia Amani
Usifikirie ni zawadi
Ambayo inapeanwa
Pasipo mikwaruzano
Kama wataka hakiyo
Shariti uwe tayari Kupokeza roho yako
Pamoja na ya mwingine
Uhuru ja ini la fani
Ambalo kulifikia
Sharti uwe jasiri
Jasiri aso kifani
Eleza maana ya msamiati ufuatao kama ulivyotumika katika mashairi.
(i) Ja
(ii) Sharuti
(iii) Utukufu
(iv) Baidi
Date posted: August 3, 2019. Answers (1)
- Taja na utoe mifano miwili idhini ya mtunzi uliotumika katika mashairi yote mawili.(Solved)
SHAIRI A: HOFU YA BIN-ADAMU
Hofu za wanyonge, ni nguvu za matajiri,
Ambazo zinawaponda, wanapotaka usawa.
Hofu ya watawala, ni kupoteza uhuru,
Wa kutawala kwa mbavu, pamoja na utukutu.
Hofu za mwanamke ,mwanamke wa sasa,
Ni kutumiwa ja rungu, daima kuwekwa nyuma.
Hofu za mmcha-mungu, ni maisha ya baadaye,
Maana hana hakika, ndio aogopa kifo.
Hofu za wasomi, ni kwamba wako baidi,
Na wale wateteao, ambao ni sawa nao.
SHAIRI B: AMANI
Uhuru pia Amani
Usifikirie ni zawadi
Ambayo inapeanwa
Pasipo mikwaruzano
Kama wataka hakiyo
Shariti uwe tayari Kupokeza roho yako
Pamoja na ya mwingine
Uhuru ja ini la fani
Ambalo kulifikia
Sharti uwe jasiri
Jasiri aso kifani
Taja na utoe mifano miwili idhini ya mtunzi uliotumika katika mashairi yote mawili.
Date posted: August 3, 2019. Answers (1)
- Taja na utoe mifano miwili ya tamathali za usemi zilizotumika katika mashairi yote mawili.(Solved)
SHAIRI A: HOFU YA BIN-ADAMU
Hofu za wanyonge, ni nguvu za matajiri,
Ambazo zinawaponda, wanapotaka usawa.
Hofu ya watawala, ni kupoteza uhuru,
Wa kutawala kwa mbavu, pamoja na utukutu.
Hofu za mwanamke ,mwanamke wa sasa,
Ni kutumiwa ja rungu, daima kuwekwa nyuma.
Hofu za mmcha-mungu, ni maisha ya baadaye,
Maana hana hakika, ndio aogopa kifo.
Hofu za wasomi, ni kwamba wako baidi,
Na wale wateteao, ambao ni sawa nao.
SHAIRI B: AMANI
Uhuru pia Amani
Usifikirie ni zawadi
Ambayo inapeanwa
Pasipo mikwaruzano
Kama wataka hakiyo
Shariti uwe tayari Kupokeza roho yako
Pamoja na ya mwingine
Uhuru ja ini la fani
Ambalo kulifikia
Sharti uwe jasiri
Jasiri aso kifani
Taja na utoe mifano miwili ya tamathali za usemi zilizotumika katika mashairi yote mawili.
Date posted: August 3, 2019. Answers (1)
- Andika ubeti wa pili wa shairi B kati lugha nathari.(Solved)
SHAIRI A: HOFU YA BIN-ADAMU
Hofu za wanyonge, ni nguvu za matajiri,
Ambazo zinawaponda, wanapotaka usawa.
Hofu ya watawala, ni kupoteza uhuru,
Wa kutawala kwa mbavu, pamoja na utukutu.
Hofu za mwanamke ,mwanamke wa sasa,
Ni kutumiwa ja rungu, daima kuwekwa nyuma.
Hofu za mmcha-mungu, ni maisha ya baadaye,
Maana hana hakika, ndio aogopa kifo.
Hofu za wasomi, ni kwamba wako baidi,
Na wale wateteao, ambao ni sawa nao.
SHAIRI B: AMANI
Uhuru pia Amani
Usifikirie ni zawadi
Ambayo inapeanwa
Pasipo mikwaruzano
Kama wataka hakiyo
Shariti uwe tayari Kupokeza roho yako
Pamoja na ya mwingine
Uhuru ja ini la fani
Ambalo kulifikia
Sharti uwe jasiri
Jasiri aso kifani
Andika ubeti wa pili wa shairi B kati lugha nathari.
Date posted: August 3, 2019. Answers (1)
- Linganisha bahari za shairi A na B(Solved)
SHAIRI A: HOFU YA BIN-ADAMU
Hofu za wanyonge, ni nguvu za matajiri,
Ambazo zinawaponda, wanapotaka usawa.
Hofu ya watawala, ni kupoteza uhuru,
Wa kutawala kwa mbavu, pamoja na utukutu.
Hofu za mwanamke ,mwanamke wa sasa,
Ni kutumiwa ja rungu, daima kuwekwa nyuma.
Hofu za mmcha-mungu, ni maisha ya baadaye,
Maana hana hakika, ndio aogopa kifo.
Hofu za wasomi, ni kwamba wako baidi,
Na wale wateteao, ambao ni sawa nao.
SHAIRI B: AMANI
Uhuru pia Amani
Usifikirie ni zawadi
Ambayo inapeanwa
Pasipo mikwaruzano
Kama wataka hakiyo
Shariti uwe tayari Kupokeza roho yako
Pamoja na ya mwingine
Uhuru ja ini la fani
Ambalo kulifikia
Sharti uwe jasiri
Jasiri aso kifani
Linganisha bahari za shairi A na B
Date posted: August 3, 2019. Answers (1)
- Jadili ufaafu wa anwani: Tumbo lisiloshiba kwenye hadithi hii(Solved)
Jadili ufaafu wa anwani: Tumbo lisiloshiba kwenye hadithi hii
Date posted: August 3, 2019. Answers (1)
- Eleza madhila kumi yaliyompata Kabwela(Solved)
“Tumbo Lisiloshiba na hadithi nyingine”
“Akanyangapo chini ardhi inatetemeka…………………..
Amejitia hamnazo. Kabwela kama mimi nina faida gani?
Eleza madhila kumi yaliyompata Kabwela
Date posted: August 3, 2019. Answers (1)
- Fafanua mbinu tatu za lugha zilizotumiwa katika dondoo hili(Solved)
“Tumbo Lisiloshiba na hadithi nyingine”
“Akanyangapo chini ardhi inatetemeka…………………..
Amejitia hamnazo. Kabwela kama mimi nina faida gani?
Fafanua mbinu tatu za lugha zilizotumiwa katika dondoo hili
Date posted: August 3, 2019. Answers (1)
- Eleza muktadha wa dondoo hili(Solved)
“Tumbo Lisiloshiba na hadithi nyingine”
“Akanyangapo chini ardhi inatetemeka…………………..
Amejitia hamnazo. Kabwela kama mimi nina faida gani?
Eleza muktadha wa dondoo hili
Date posted: August 3, 2019. Answers (1)
- Eleza matumizi ya mbinu zifuatazo katika tamthilia hii:(i) Jazanda(ii) Sadfa(iii) Mbinu rejeshi (iv) Wimbo(Solved)
TAMTHILIA KIGOGO
Eleza matumizi ya mbinu zifuatazo katika tamthilia hii:
(i) Jazanda
(ii) Sadfa
(iii) Mbinu rejeshi
(iv) Wimbo
Date posted: August 3, 2019. Answers (1)
- Eleza mbinu kumi anazotumia Majoka kuendeleza uongozi wake Sagamoyo.(Solved)
TAMTHILIA KIGOGO
Eleza mbinu kumi anazotumia Majoka kuendeleza uongozi wake Sagamoyo.
Date posted: August 3, 2019. Answers (1)
- Maovu yametamalaki katika jamii ya Riwaya ya Chozi la Heri, tetea kauli hii kwa kutolea hoja kumi.(Solved)
Maovu yametamalaki katika jamii ya Riwaya ya Chozi la Heri, tetea kauli hii kwa kutolea hoja kumi.
Date posted: August 3, 2019. Answers (1)
- Ni mambo gani yaliyowakumba wale ambao kitovu chao si hicho?(Solved)
RIWAYA:CHOZI LA HERI –Asumpta K. Matei
" Lakini itakuwaje historical injustice, nawe Ridhaa, hapo ulipo sicho kitovu chako?"
Ni mambo gani yaliyowakumba wale ambao kitovu chao si hicho?
Date posted: August 3, 2019. Answers (1)
- Fafanua umuhimu wa msemaji wa maneno haya(Solved)
RIWAYA:CHOZI LA HERI –Asumpta K. Matei
" Lakini itakuwaje historical injustice, nawe Ridhaa, hapo ulipo sicho kitovu chako?"
Fafanua umuhimu wa msemaji wa maneno haya
Date posted: August 3, 2019. Answers (1)
- Eleza tamathali mbili za lugha zilizotumika kwenye dondoo hili(Solved)
RIWAYA:CHOZI LA HERI –Asumpta K. Matei
" Lakini itakuwaje historical injustice, nawe Ridhaa, hapo ulipo sicho kitovu chako?"
Eleza tamathali mbili za lugha zilizotumika kwenye dondoo hili
Date posted: August 3, 2019. Answers (1)
- Eleza muktadha wa dondoo(Solved)
RIWAYA:CHOZI LA HERI –Asumpta K. Matei
" Lakini itakuwaje historical injustice, nawe Ridhaa, hapo ulipo sicho kitovu chako?"
Eleza muktadha wa dondoo
Date posted: August 3, 2019. Answers (1)
- Eleza umuhimu wa semi katika jamii.(Solved)
Eleza umuhimu wa semi katika jamii.
Date posted: August 3, 2019. Answers (1)
- Eleza tofauti nne kati ya methali na vitendawili.(Solved)
Eleza tofauti nne kati ya methali na vitendawili.
Date posted: August 3, 2019. Answers (1)
- Huku ukitoa mifano mwafaka ,eleza miundo tano ya methali.(Solved)
Huku ukitoa mifano mwafaka ,eleza miundo tano ya methali.
Date posted: August 3, 2019. Answers (1)