Get premium membership and access questions with answers, video lessons as well as revision papers.

Eleza yaliyotokea baada ya mazungumzo haya.

      

TUMBO LISILOSHIBA NA HADITHI NYINGINEZO

“Wamelaa?’
“Enh wamelala”
“Basi wamelala tu?’

Eleza yaliyotokea baada ya mazungumzo haya.

  

Answers


Maurice
(i) aliambiwa shogake ana ndevu

(ii) Simu iliita (Makusudi)

(iii) Alipoisikiliza aliiangusha juu ya meza

(iv) Sauti kutoka simuni - ameshakufa - ameshakufa

(v) Safia alikuwa ameenda kliniki kutoa mimba

(vi) Wakaomba (hamida na masudi) wakachukue maiti yao
maurice.mutuku answered the question on August 5, 2019 at 08:41


Next: “Basi wamelala tu?’ Mbona msemaji huyu ana wasiwasi.
Previous: Eleza jinsi maudhui ya unafiki yameshughulikiwa katika hadithi hii.

View More Kiswahili Questions and Answers | Return to Questions Index


Learn High School English on YouTube

Related Questions