Eleza jinsi maudhui ya unafiki yameshughulikiwa katika hadithi hii.

      

“Wamelaa?’
“Enh wamelala”
“Basi wamelala tu?’

Eleza jinsi maudhui ya unafiki yameshughulikiwa katika hadithi hii.

  

Answers


Maurice
Safia

(i) Anajifanya mwaminifu lakini analala na kimwana

(ii) Anajifanya anaka wasaidiane na kimwana kusoma kumbe ni mapenzi

(iii) Anajipamba kwa staha kama mtu anayejifunza lakini anafanya mapenzi na kimwana

(iv) Anapoulozwa na mamake kama ana jambo (mimba) anakasirika na kumwambia mamake aache kumfikiria mambaya. Anasema, “pamoja na kujilinda kwake”

(v) Anaavya mimba ili aonekane mwema lakini alikuwa tayari mjamzito.


Kimwana

(i) Anajifunga buibui na kuacha mdomo tu

(ii) Anasalimia wazazi wa safia kwa stahh

(iii) Alisalimiana kwa sauti hafifu asijulikane kuwa ni kijanadume
maurice.mutuku answered the question on August 5, 2019 at 08:47


Next: Eleza yaliyotokea baada ya mazungumzo haya.
Previous: Give the Steps followed in Procurement of Materials

View More Kiswahili Questions and Answers | Return to Questions Index


Exams With Marking Schemes

Related Questions