Get premium membership and access questions with answers, video lessons as well as revision papers.

Fafanua majukumu yoyote sita ya maigizo katika jamii ya kisasa.

      

Fafanua majukumu yoyote sita ya maigizo katika jamii ya kisasa.

  

Answers


Maurice
(i) Kuburudisha

(ii) kukuza vipawa vya kuzungumza na kuigiza

(iii) Kitega uchumi kwa baadhi ya watu

(iv) Kufunza maarifa

(v) Kuonya wanajamii

(vi) Kuhamasisha watu mfano Pinga udhalimu
maurice.mutuku answered the question on August 5, 2019 at 09:26


Next: Explain the Purchasing Systems
Previous: Mbinu zifuatazo zina umuhimu gani katika uwasilishaji wa fasihi simulizi. (i) Uradidi (ii) Uigaji sauti

View More Kiswahili Questions and Answers | Return to Questions Index


Learn High School English on YouTube

Related Questions