Get premium membership and access questions with answers, video lessons as well as revision papers.

Mbinu zifuatazo zina umuhimu gani katika uwasilishaji wa fasihi simulizi. (i) Uradidi (ii) Uigaji sauti

      

Mbinu zifuatazo zina umuhimu gani katika uwasilishaji wa fasihi simulizi.

(i) Uradidi

(ii) Uigaji sauti

  

Answers


Maurice
(i) Uradidi kusisitiza / kutilia mkazo

(ii) Uigaji sauti - kuburudisha

(iii) Kusawiri uhalisia

(iv) Matendo

(v) Kumakinisha
maurice.mutuku answered the question on August 5, 2019 at 09:30


Next: Fafanua majukumu yoyote sita ya maigizo katika jamii ya kisasa.
Previous: Name three activities used in clearing land.

View More Kiswahili Questions and Answers | Return to Questions Index


Learn High School English on YouTube

Related Questions