Taja aina zozote tatu za vitendawili

      

Taja aina zozote tatu za vitendawili

  

Answers


Maurice
(i) Sahili – vitendwa vinavyoundwa kwa maneno machache

(ii) Tate – huwa ni fumbo linalohitaji kuchemsha bongo ili kung’amua jawabu

(iii) Simulizi – husimulia hadithi kama msingi wa kitendawili.

(iv) Tanakali – huundwa kwa maneno yanayoiga sauti inayotolewa na kitendo kama chururu si ndo!ndo!ndo!

(v) Mkufu – huwa sehemu zinazohusiana na kuchangizana kimaana na vina urefu Fulani
maurice.mutuku answered the question on August 6, 2019 at 05:20


Next: An Element X has first, second and third ionization energies. State and explain how their trends compare.
Previous: Eleza ujumbe uliowasilishwa na ngomezi katika fasihi simulizi.

View More Kiswahili Questions and Answers | Return to Questions Index


Exams With Marking Schemes

Related Questions