Eleza ujumbe uliowasilishwa na ngomezi katika fasihi simulizi.

      

Eleza ujumbe uliowasilishwa na ngomezi katika fasihi simulizi.

  

Answers


Maurice
(i) Kuzaliwa kwa mtoto

(ii) Ndoa

(iii) Kifo

(iv) Uwindaji

(v) Vita vya kikabila

(vi) Majilio ya mvua

(vii) Kuwaita kwa mchezo wa mleleka

(viii) Kuwaita watu kwa jambo la dharura
maurice.mutuku answered the question on August 6, 2019 at 05:24


Next: Taja aina zozote tatu za vitendawili
Previous: Fafanua sifa zozote nne za ngomezi.

View More Kiswahili Questions and Answers | Return to Questions Index


Exams With Marking Schemes

Related Questions