Eleza maana ya maneno haya kama yalivyotumika katika shairi (i) Makondeni (ii) Jitwike (iii) Kiola

1.Kijana tuza makini, nikwambie usikile
Chakula mahotelini, si kizuri usikile
Ufikapo mlangoni, kizingiti usikile

2. Nenda kaseme nyumbani, kesho asubuhi siji
Nitakwenda makondeni, kawashunge shunge siji
Na hata hapo jioni, kama nitakuja siji

3. Na kama wenda mjini, upatapo nyumba panga
Upahame mizimuni, palozingirwa na panga
Hapana tena amani, kutwa mwapigana panga

4. Na kesho kija shambani, uonapo mti panda
Kwea hadi kileleni, ujifiche kwenye panda
Kaziyo ulinde chini, mimea tuliyopanda

5. Kishuka ola shinani, njugu merundika chungu
Njugu peleka nyumbani, zisije zikawa chungu
Kaanga sufuriani, au pia kwenye chungu

6. Kileta maji jioni, ndoo jitwike na kata
Kata njema ya majani, laini wezayo kata
Kumbuka ya kisimani, huteki ela kwa kata

7. Ninawahi kibandani, nikaliezeke paa
Nipate lindia nyuni, na wanyama kama paa
Kwani kiola angani, naona jua lapaa

8.Kisha takwea mtini, nimeona bivu tunda
Sina usono moyoni, ela tunda kisha tunda
Nimpe wangu mwendeni, jioni nishike tunda

9.Meanza wao uneni, hapo nami ndipo kamba
Leo wenda hawaoni, kama wa bahari kamba
Wajijaza kimiani, wakijitatia kamba

10. Mtoto wachoma yakini, japo liwe moja kaa
Ukikupata takoni, ni shida huwezi kaa
Ela hufaa mekoni, kutoka nswi na kaa

Eleza maana ya maneno haya kama yalivyotumika katika shairi

(i) Makondeni
(ii) Jitwike
(iii) Kiola

Answers

Maurice
(i) Makondeni – mashambani
(ii) Jitwike – weka kichwani/ mgongoni
(iii) Kiola – kiona/ kiangalia/ kitazama
maurice.mutuku answered the question on August 6, 2019 at 06:21

Next: Read the narrative below and answer the questions that follow.
Previous: The figure below shows how the displacement varies for a certain wave. Determine the frequency of the wave.

View More Kiswahili Questions and Answers | Return to Questions Index

Exams With Marking Schemes

Related Questions

  • Onyesha vile uhuru wa kishairi ulivyotumiwa na malenga(Solved)

    1.Kijana tuza makini, nikwambie usikile
    Chakula mahotelini, si kizuri usikile
    Ufikapo mlangoni, kizingiti usikile

    2. Nenda kaseme nyumbani, kesho asubuhi siji
    Nitakwenda makondeni, kawashunge shunge siji
    Na hata hapo jioni, kama nitakuja siji

    3. Na kama wenda mjini, upatapo nyumba panga
    Upahame mizimuni, palozingirwa na panga
    Hapana tena amani, kutwa mwapigana panga

    4. Na kesho kija shambani, uonapo mti panda
    Kwea hadi kileleni, ujifiche kwenye panda
    Kaziyo ulinde chini, mimea tuliyopanda

    5. Kishuka ola shinani, njugu merundika chungu
    Njugu peleka nyumbani, zisije zikawa chungu
    Kaanga sufuriani, au pia kwenye chungu

    6. Kileta maji jioni, ndoo jitwike na kata
    Kata njema ya majani, laini wezayo kata
    Kumbuka ya kisimani, huteki ela kwa kata

    7. Ninawahi kibandani, nikaliezeke paa
    Nipate lindia nyuni, na wanyama kama paa
    Kwani kiola angani, naona jua lapaa

    8.Kisha takwea mtini, nimeona bivu tunda
    Sina usono moyoni, ela tunda kisha tunda
    Nimpe wangu mwendeni, jioni nishike tunda

    9.Meanza wao uneni, hapo nami ndipo kamba
    Leo wenda hawaoni, kama wa bahari kamba
    Wajijaza kimiani, wakijitatia kamba

    10. Mtoto wachoma yakini, japo liwe moja kaa
    Ukikupata takoni, ni shida huwezi kaa
    Ela hufaa mekoni, kutoka nswi na kaa

    Onyesha vile uhuru wa kishairi ulivyotumiwa na malenga

    Date posted: August 6, 2019.  Answers (1)

  • Eleza muundo wa shairi hili(Solved)

    Eleza muundo wa shairi hili

    Date posted: August 6, 2019.  Answers (1)

  • Andika ubeti wa nane katika lugha nathari(Solved)

    Andika ubeti wa nane katika lugha nathari

    Date posted: August 6, 2019.  Answers (1)

  • Eleza maana tatu za neno chungu kama lilivyotumika katika shairi(Solved)

    Eleza maana tatu za neno chungu kama lilivyotumika katika shairi

    Date posted: August 6, 2019.  Answers (1)

  • Bainisha dhamira ya mtunzi wa shairi hili(Solved)

    Bainisha dhamira ya mtunzi wa shairi hili

    Date posted: August 6, 2019.  Answers (1)

  • Fafanua sifa zozote nne za ngomezi.(Solved)

    Fafanua sifa zozote nne za ngomezi.

    Date posted: August 6, 2019.  Answers (1)

  • Eleza ujumbe uliowasilishwa na ngomezi katika fasihi simulizi.(Solved)

    Eleza ujumbe uliowasilishwa na ngomezi katika fasihi simulizi.

    Date posted: August 6, 2019.  Answers (1)

  • Taja aina zozote tatu za vitendawili(Solved)

    Taja aina zozote tatu za vitendawili

    Date posted: August 6, 2019.  Answers (1)

  • Mbinu zifuatazo zina umuhimu gani katika uwasilishaji wa fasihi simulizi. (i) Uradidi (ii) Uigaji sauti(Solved)

    Mbinu zifuatazo zina umuhimu gani katika uwasilishaji wa fasihi simulizi.

    (i) Uradidi

    (ii) Uigaji sauti

    Date posted: August 5, 2019.  Answers (1)

  • Fafanua majukumu yoyote sita ya maigizo katika jamii ya kisasa.(Solved)

    Fafanua majukumu yoyote sita ya maigizo katika jamii ya kisasa.

    Date posted: August 5, 2019.  Answers (1)

  • Eleza jinsi maudhui ya unafiki yameshughulikiwa katika hadithi hii.(Solved)

    “Wamelaa?’
    “Enh wamelala”
    “Basi wamelala tu?’

    Eleza jinsi maudhui ya unafiki yameshughulikiwa katika hadithi hii.

    Date posted: August 5, 2019.  Answers (1)

  • Eleza yaliyotokea baada ya mazungumzo haya.(Solved)

    TUMBO LISILOSHIBA NA HADITHI NYINGINEZO

    “Wamelaa?’
    “Enh wamelala”
    “Basi wamelala tu?’

    Eleza yaliyotokea baada ya mazungumzo haya.

    Date posted: August 5, 2019.  Answers (1)

  • “Basi wamelala tu?’ Mbona msemaji huyu ana wasiwasi.(Solved)

    TUMBO LISILOSHIBA NA HADITHI NYINGINEZO

    “Wamelaa?’
    “Enh wamelala”
    “Basi wamelala tu?’

    “Basi wamelala tu?’
    Mbona msemaji huyu ana wasiwasi.

    Date posted: August 5, 2019.  Answers (1)

  • Eleza mbinu ya lugha iliyotumika.(Solved)

    TUMBO LISILOSHIBA NA HADITHI NYINGINEZO

    “Wamelaa?’
    “Enh wamelala”
    “Basi wamelala tu?’

    Eleza mbinu ya lugha iliyotumika.

    Date posted: August 5, 2019.  Answers (1)

  • Taja wahusika wawili wanaorejelewa.(Solved)

    TUMBO LISILOSHIBA NA HADITHI NYINGINEZO

    “Wamelaa?’
    “Enh wamelala”
    “Basi wamelala tu?’

    Taja wahusika wawili wanaorejelewa.

    Date posted: August 5, 2019.  Answers (1)

  • Taja wazungumzaji katika muktadha huu.(Solved)

    TUMBO LISILOSHIBA NA HADITHI NYINGINEZO

    “Wamelaa?’
    “Enh wamelala”
    “Basi wamelala tu?’

    Taja wazungumzaji katika muktadha huu.

    Date posted: August 5, 2019.  Answers (1)

  • “ulitaka wahamie wapi siku kama hizi?....Fafanua sifa za msemaji wa dondoo hii.(Solved)

    TAMTHLIA: KIGOGO

    “ulitaka wahamie wapi siku kama hizi? Wamekuja kuuguza majeraha yao ya kufungiwa soko?”

    Fafanua sifa za msemaji wa dondoo hii.

    Date posted: August 5, 2019.  Answers (1)

  • Kando na kufungiwa soko, wanasagamoyo wanauguza majeraha yepi mengine yanayosababishwa na utawala wa Majoka.(Solved)

    TAMTHLIA: KIGOGO

    Kando na kufungiwa soko, wanasagamoyo wanauguza majeraha yepi mengine yanayosababishwa na utawala wa Majoka?

    Date posted: August 5, 2019.  Answers (1)

  • Tambua mbinu mbili za lugha katika dondoo hili.(Solved)

    “ulitaka wahamie wapi siku kama hizi? Wamekuja kuuguza majeraha yao ya kufungiwa soko?”

    Tambua mbinu mbili za lugha katika dondoo hili.

    Date posted: August 5, 2019.  Answers (1)

  • Weka maneno haya katika muktadha wake(Solved)

    “ulitaka wahamie wapi siku kama hizi? Wamekuja kuuguza majeraha yao ya kufungiwa soko?”

    Weka maneno haya katika muktadha wake