Taja lugha za mahakama?

      

Taja lugha za mahakama?

  

Answers


Moureen
Lugha yenye urasmi.
Msamiati teule wa mahakama mfano korti,sheria na mstakiwa .
Lugha sanifu.
Lugha ya mfululizo.
karanumoureen answered the question on August 24, 2019 at 17:16


Next: Taja vipera vya mazungumzo
Previous: An open cylindrical concrete water tank has an external diameter of 1.2m and an external height of 1.5m. The thickness of the concrete is 8cm. Calculate...

View More Kiswahili Fasihi Questions and Answers | Return to Questions Index


Exams With Marking Schemes

Related Questions