(a) Utamaduni / kaida za jadi / mila.
(b)
-Mwanamke hakuruhusiwa kushiriki katika shughuli za kisiasa na utawala
-Angeweza kushikilia wadhifa wowote wa uongozi.
-Kupuuza na kutukanwa
-Wanawake wazee walidhaniwa bigwa wa uchawi na ushirikina.
(c)
-Maazimio ya kuondolewa kwa ubaguzi dhidi ya wanawake kushiriki katika uendelezaji wa amani ya kimataifa.
-Wanawake wameonyesha vipaji vyao katika nyanja mbalimbali za maisha; siasa, uchumi na utawala.
(d) Kupuuza jitihada za wanawake
Kushikilia mila/ tamaduni – nafasi ya mwanamke ni nyumbani.
Serikali za mataifa kutochukua hatua.
(e) - Enda kinyume / kataa
- Kupitishwa kwa malengo /nia ya kulewa jambo
- Kujitoa kwa vyovyote vile.
sharon kalunda answered the question on September 19, 2019 at 13:28
- Eleza maana ya maneno haya kama yalivyotumika katika shairi
(i) Makondeni
(ii) Jitwike
(iii) Kiola(Solved)
1.Kijana tuza makini, nikwambie usikile
Chakula mahotelini, si kizuri usikile
Ufikapo mlangoni, kizingiti usikile
2. Nenda kaseme nyumbani, kesho asubuhi siji
Nitakwenda makondeni, kawashunge shunge siji
Na hata hapo jioni, kama nitakuja siji
3. Na kama wenda mjini, upatapo nyumba panga
Upahame mizimuni, palozingirwa na panga
Hapana tena amani, kutwa mwapigana panga
4. Na kesho kija shambani, uonapo mti panda
Kwea hadi kileleni, ujifiche kwenye panda
Kaziyo ulinde chini, mimea tuliyopanda
5. Kishuka ola shinani, njugu merundika chungu
Njugu peleka nyumbani, zisije zikawa chungu
Kaanga sufuriani, au pia kwenye chungu
6. Kileta maji jioni, ndoo jitwike na kata
Kata njema ya majani, laini wezayo kata
Kumbuka ya kisimani, huteki ela kwa kata
7. Ninawahi kibandani, nikaliezeke paa
Nipate lindia nyuni, na wanyama kama paa
Kwani kiola angani, naona jua lapaa
8.Kisha takwea mtini, nimeona bivu tunda
Sina usono moyoni, ela tunda kisha tunda
Nimpe wangu mwendeni, jioni nishike tunda
9.Meanza wao uneni, hapo nami ndipo kamba
Leo wenda hawaoni, kama wa bahari kamba
Wajijaza kimiani, wakijitatia kamba
10. Mtoto wachoma yakini, japo liwe moja kaa
Ukikupata takoni, ni shida huwezi kaa
Ela hufaa mekoni, kutoka nswi na kaa
Eleza maana ya maneno haya kama yalivyotumika katika shairi
(i) Makondeni
(ii) Jitwike
(iii) Kiola
Date posted: August 6, 2019. Answers (1)
- Onyesha vile uhuru wa kishairi ulivyotumiwa na malenga(Solved)
1.Kijana tuza makini, nikwambie usikile
Chakula mahotelini, si kizuri usikile
Ufikapo mlangoni, kizingiti usikile
2. Nenda kaseme nyumbani, kesho asubuhi siji
Nitakwenda makondeni, kawashunge shunge siji
Na hata hapo jioni, kama nitakuja siji
3. Na kama wenda mjini, upatapo nyumba panga
Upahame mizimuni, palozingirwa na panga
Hapana tena amani, kutwa mwapigana panga
4. Na kesho kija shambani, uonapo mti panda
Kwea hadi kileleni, ujifiche kwenye panda
Kaziyo ulinde chini, mimea tuliyopanda
5. Kishuka ola shinani, njugu merundika chungu
Njugu peleka nyumbani, zisije zikawa chungu
Kaanga sufuriani, au pia kwenye chungu
6. Kileta maji jioni, ndoo jitwike na kata
Kata njema ya majani, laini wezayo kata
Kumbuka ya kisimani, huteki ela kwa kata
7. Ninawahi kibandani, nikaliezeke paa
Nipate lindia nyuni, na wanyama kama paa
Kwani kiola angani, naona jua lapaa
8.Kisha takwea mtini, nimeona bivu tunda
Sina usono moyoni, ela tunda kisha tunda
Nimpe wangu mwendeni, jioni nishike tunda
9.Meanza wao uneni, hapo nami ndipo kamba
Leo wenda hawaoni, kama wa bahari kamba
Wajijaza kimiani, wakijitatia kamba
10. Mtoto wachoma yakini, japo liwe moja kaa
Ukikupata takoni, ni shida huwezi kaa
Ela hufaa mekoni, kutoka nswi na kaa
Onyesha vile uhuru wa kishairi ulivyotumiwa na malenga
Date posted: August 6, 2019. Answers (1)
- Eleza muundo wa shairi hili(Solved)

Eleza muundo wa shairi hili
Date posted: August 6, 2019. Answers (1)
- Andika ubeti wa nane katika lugha nathari(Solved)

Andika ubeti wa nane katika lugha nathari
Date posted: August 6, 2019. Answers (1)
- Eleza maana tatu za neno chungu kama lilivyotumika katika shairi(Solved)

Eleza maana tatu za neno chungu kama lilivyotumika katika shairi
Date posted: August 6, 2019. Answers (1)
- Bainisha dhamira ya mtunzi wa shairi hili(Solved)

Bainisha dhamira ya mtunzi wa shairi hili
Date posted: August 6, 2019. Answers (1)
- Fafanua sifa zozote nne za ngomezi.(Solved)
Fafanua sifa zozote nne za ngomezi.
Date posted: August 6, 2019. Answers (1)
- Eleza ujumbe uliowasilishwa na ngomezi katika fasihi simulizi.(Solved)
Eleza ujumbe uliowasilishwa na ngomezi katika fasihi simulizi.
Date posted: August 6, 2019. Answers (1)
- Taja aina zozote tatu za vitendawili(Solved)
Taja aina zozote tatu za vitendawili
Date posted: August 6, 2019. Answers (1)
- Mbinu zifuatazo zina umuhimu gani katika uwasilishaji wa fasihi simulizi.
(i) Uradidi
(ii) Uigaji sauti(Solved)
Mbinu zifuatazo zina umuhimu gani katika uwasilishaji wa fasihi simulizi.
(i) Uradidi
(ii) Uigaji sauti
Date posted: August 5, 2019. Answers (1)
- Fafanua majukumu yoyote sita ya maigizo katika jamii ya kisasa.(Solved)
Fafanua majukumu yoyote sita ya maigizo katika jamii ya kisasa.
Date posted: August 5, 2019. Answers (1)
- Eleza jinsi maudhui ya unafiki yameshughulikiwa katika hadithi hii.(Solved)
“Wamelaa?’
“Enh wamelala”
“Basi wamelala tu?’
Eleza jinsi maudhui ya unafiki yameshughulikiwa katika hadithi hii.
Date posted: August 5, 2019. Answers (1)
- Eleza yaliyotokea baada ya mazungumzo haya.(Solved)
TUMBO LISILOSHIBA NA HADITHI NYINGINEZO
“Wamelaa?’
“Enh wamelala”
“Basi wamelala tu?’
Eleza yaliyotokea baada ya mazungumzo haya.
Date posted: August 5, 2019. Answers (1)
- “Basi wamelala tu?’
Mbona msemaji huyu ana wasiwasi.(Solved)
TUMBO LISILOSHIBA NA HADITHI NYINGINEZO
“Wamelaa?’
“Enh wamelala”
“Basi wamelala tu?’
“Basi wamelala tu?’
Mbona msemaji huyu ana wasiwasi.
Date posted: August 5, 2019. Answers (1)
- Eleza mbinu ya lugha iliyotumika.(Solved)
TUMBO LISILOSHIBA NA HADITHI NYINGINEZO
“Wamelaa?’
“Enh wamelala”
“Basi wamelala tu?’
Eleza mbinu ya lugha iliyotumika.
Date posted: August 5, 2019. Answers (1)
- Taja wahusika wawili wanaorejelewa.(Solved)
TUMBO LISILOSHIBA NA HADITHI NYINGINEZO
“Wamelaa?’
“Enh wamelala”
“Basi wamelala tu?’
Taja wahusika wawili wanaorejelewa.
Date posted: August 5, 2019. Answers (1)
- Taja wazungumzaji katika muktadha huu.(Solved)
TUMBO LISILOSHIBA NA HADITHI NYINGINEZO
“Wamelaa?’
“Enh wamelala”
“Basi wamelala tu?’
Taja wazungumzaji katika muktadha huu.
Date posted: August 5, 2019. Answers (1)
- “ulitaka wahamie wapi siku kama hizi?....Fafanua sifa za msemaji wa dondoo hii.(Solved)
TAMTHLIA: KIGOGO
“ulitaka wahamie wapi siku kama hizi? Wamekuja kuuguza majeraha yao ya kufungiwa soko?”
Fafanua sifa za msemaji wa dondoo hii.
Date posted: August 5, 2019. Answers (1)
- Kando na kufungiwa soko, wanasagamoyo wanauguza majeraha yepi mengine yanayosababishwa na utawala wa Majoka.(Solved)
TAMTHLIA: KIGOGO
Kando na kufungiwa soko, wanasagamoyo wanauguza majeraha yepi mengine yanayosababishwa na utawala wa Majoka?
Date posted: August 5, 2019. Answers (1)
- Tambua mbinu mbili za lugha katika dondoo hili.(Solved)
“ulitaka wahamie wapi siku kama hizi? Wamekuja kuuguza majeraha yao ya kufungiwa soko?”
Tambua mbinu mbili za lugha katika dondoo hili.