Get premium membership and access questions with answers, video lessons as well as revision papers.

Eleza maridhawa kaida ya lugha katika jamii

      

Eleza maridhawa kaida ya lugha katika jamii

  

Answers


paul
1.uhusiano wa wanaotumia lugha-uhusiano kati ya watumizi wa lugha uchangia pakubwa jinsi lugha hutumika.kwa mfano,mwalimu mkuu na walimu wenzake hutumia lugha ya pekee katika mawasiliano yao.
2sababu ya kutumia lugha-kila mtu hutumia lugha akiwa na lengo maalum.kwa mfano,mhubiri anaweza kutumia lugha shawishi ili kubadilisha mitazamo ya waumini.
3.umri wa mzugumzaji na mzugumziwa-lugha ya jamii hubadilika na umri wa mtu anayetumia lugha hiyo.mtoto ana lugha tofauti na mtu mzima.
4.hali ya mtu anayezungumza-mtu hutumia lugha kutengemea wakati huo.kwa mfano,mtu mgonjwa anaweza kutumia lugha ya unyenyekevu.
5.malezi na tabaka-baadhi ya watu hutumia lugha kutengemea namna wamelelewa na kufuzwa jinsi ya kutumia lugha hiombele ya hadhira.kwa mfano,baadhi ya watu hulelewa katika mazingira ya matusi,kejeli na kutweza na hivyo wao hutumia lugha iliyo na sifa hizo.
6.jinsia ya wanaotumia lugha hiyo-kila jinsia huwa na lugha maalum kutengemea na jamii.kwa mfano,watu wa jinsia ya kike wanapozungumzia swala nyeti la kijinsia wao hutumia lugha ya tasfida kinyume na wanaume ambao hutunia lugha kinya kwa kutajia swala nyeti


kadabo answered the question on October 7, 2017 at 14:35


Next: Give the three arms of the government in Kenya and their duties
Previous:  In a physics class the following formula was used to determine the value of f, 1/f = (1/u)+(1/v)....

View More English Questions and Answers | Return to Questions Index


Learn High School English on YouTube

Related Questions