Get premium membership and access questions with answers, video lessons as well as revision papers.
i) Kuwa na tamasha za muziki shuleni – mashairi.
ii) Kiswahili kufanywa somo la lazima shuleni (Msingi na Sekondari).
iii) Kiswahili kuteuliwa kama lugha rasmi sawa na lugha ya taifa.
iv) Uandishi na uchapishaji wa vitabu vingi vya hadithi.
v) Kiswahili kupigiwa debe katika vyombo vya habari.
vi) Mijadala bungeni kuendelezwa kwa lugha hii.
vii) Kuwepokwa mtandao unaotumia lugha hii.
sharon kalunda answered the question on September 19, 2019 at 14:21
- Tambua kishazi huru na kishazi tegemezi.
Tumeanzisha shirika ili tunyanyue hali yetu.(Solved)
Tambua kishazi huru na kishazi tegemezi.
Tumeanzisha shirika ili tunyanyue hali yetu.
Date posted: September 19, 2019. Answers (1)
- Kanusha sentensi hii
Ugonjwa huu ungalidhibitiwa mapema kifo kingaliepukwa(Solved)
Kanusha sentensi hii
Ugonjwa huu ungalidhibitiwa mapema kifo kingaliepukwa
Date posted: September 19, 2019. Answers (1)
- Badilisha katika kauli ya kutendua.
Tundika picha hiyo ukutani na uyabandike maandishi kitabuni.(Solved)
Badilisha katika kauli ya kutendua.
Tundika picha hiyo ukutani na uyabandike maandishi kitabuni.
Date posted: September 19, 2019. Answers (1)
- Tambua shamirisho kipozi, kitondo na shamirisho ala katika sentensi ifuatayo.
Baba amemnunulia mtoto fulana nzuri iliyoshonwa kwa uzi mwekundu.(Solved)
Tambua shamirisho kipozi, kitondo na shamirisho ala katika sentensi ifuatayo.
Baba amemnunulia mtoto fulana nzuri iliyoshonwa kwa uzi mwekundu.
Date posted: September 19, 2019. Answers (1)
- Andika katika msemo wa taarifa;
"Tusipofanya kazi yetu kwa bidii na kujitegemea,tutabaki kuwa watumwa katika nchi yetu" Rais alisema.(Solved)
Andika katika msemo wa taarifa;
"Tusipofanya kazi yetu kwa bidii na kujitegemea,tutabaki kuwa watumwa katika nchi yetu" Rais alisema.
Date posted: September 19, 2019. Answers (1)
- Kwa kutungia sentensi, tofautisha vitate hivi.
i) Ghali
ii) Gari(Solved)
Kwa kutungia sentensi, tofautisha vitate hivi.
i) Ghali
ii) Gari
Date posted: September 19, 2019. Answers (1)
- Tumia =O‘ rejeshi.
i) Msichana ambaye huja ni mwanasheria
ii) Maovu ambayo aliyatenda hayasahauliki(Solved)
Tumia ‗O‘ rejeshi.
i) Msichana ambaye huja ni mwanasheria
ii) Maovu ambayo aliyatenda hayasahauliki
Date posted: September 19, 2019. Answers (1)
- Tambua aina ya vitenzi kwa kutaja majina yake.
Babu angali anasoma gazeti(Solved)
Tambua aina ya vitenzi kwa kutaja majina yake.
Babu angali anasoma gazeti.
Date posted: September 19, 2019. Answers (1)
- Andika katika hali ya udogo
Mbwa mwenye ukali alimfukuza mtoto(Solved)
Andika katika hali ya udogo
Mbwa mwenye ukali alimfukuza mtoto
Date posted: September 19, 2019. Answers (1)
- Tambua na ueleze aina za vielezi katika sentinsi hizi.
i) Mama alimwamrisha mtoto wake kijeshi
ii) Askari hutembea makundi makundi(Solved)
Tambua na ueleze aina za vielezi katika sentinsi hizi.
i) Mama alimwamrisha mtoto wake kijeshi
ii) Askari hutembea makundi makundi
Date posted: September 19, 2019. Answers (1)
- Tunga sentensi kwa kutumia nomino katika ngeli ya pa- ku- mu.(Solved)
Tunga sentensi kwa kutumia nomino katika ngeli ya pa- ku- mu.
Date posted: September 19, 2019. Answers (1)
- Changanua sentensi ifuatayo kwa njia ya jedwali.
Msichana mtukutu alifukuzwa shule leo asubuhi(Solved)
Changanua sentensi ifuatayo kwa njia ya jedwali.
Msichana mtukutu alifukuzwa shule leo asubuhi
Date posted: September 19, 2019. Answers (1)
- Ainisha matumizi ya 'na' katika sentensi
i) Marafiki hawa hutembeleleana sana.
ii) Amina ni tofauti na kakake(Solved)
Ainisha matumizi ya 'na' katika sentensi
i) Marafiki hawa hutembeleleana sana.
ii) Amina ni tofauti na kakake
Date posted: September 19, 2019. Answers (1)
- Eleze maana mbili za sentensi hii;
Jane alifagia chakula chote.(Solved)
Eleze maana mbili za sentensi hii;
Jane alifagia chakula chote.
Date posted: September 19, 2019. Answers (1)
- Toa mfano mmoja kwa kila mojawapo.
i) Kipasuo
ii) Kitambaza(Solved)
Toa mfano mmoja kwa kila mojawapo.
i) Kipasuo
ii) Kitambaza
Date posted: September 19, 2019. Answers (1)
- Taja irabu mbili za nyuma kisha ueleze kwa nini huitwa hivyo.(Solved)
Taja irabu mbili za nyuma kisha ueleze kwa nini huitwa hivyo.
Date posted: September 19, 2019. Answers (1)
- Soma makala yafuatayo kisha ujibu maswali Dhuluma kwa wanawake sio matokeo ya siasa baada ya uhuru, bali ni matokeo ya hali iliyokuwepo tangu enzi za mababu...(Solved)
Soma makala yafuatayo kisha ujibu maswali
Dhuluma kwa wanawake sio matokeo ya siasa baada ya uhuru, bali ni matokeo ya hali iliyokuwepo tangu enzi za mababu zetu, kabla ya ukoloni. Kubaguliwa na kudhulumiwa kwa wanawake kisiasa kunaoana na kunyonywa kwake kijamii kunakoshuhudiwa siku nenda miaka rudi.
Elimu ya jadi ilimwandaa mwanamke kuwa chombo kitiifu cha mwanaume. Mwanamke aliandaliwa katika unyago na katika mfumo mzima wa malezi kuwa chombo cha kumtumikia mwanamume, kumstarehesha, kumfariji, kumlisha na kumzalia watoto. Mwanamke tangu jadi hakuruhusiwa kushiriki katika shunghuli za kisiasa na utawala wala hakuna mtu aliyeamini kwamba mwanamke angeweza kushikilia wadhifa wowote wa uongozi.
Demokrasia ya jadi nai husudu sana, ambapo wazee walikaa chini ya mbuyu na kuamua mambo ya jumuiya. Mahakama ya jiji ilikuwa aghalabu ni ya wazee na wanaume peke yao. Hakukuwa na mwanamke aliyeshirikishwa hata kama alikuwa ajuza. Sifa waliyokuwa nayo wanawake ni ile ya ushiri na uganga. Mwanamke yeyote aliyezeeka alidhaniwa kuwa bingwa wa uchawi, ulozi na ushirikina. Kwa hivyo, wanawake ndio waliokuwa washirikina wakubwa, maana fursa ya kupata elimu pana zaidi hawakuwa nayo. Si ajabu kuwa mwanamke alipojitokeza na kusema jambo la busara, alipuuzwa
napengine kutukanwa hadharani.
Kwa bahati zuri kumezuka mwamko uliotuingiza katika enzi mpya. Vita vya wanawake vya kujihami na kujiendeleza katika ulimwengu unaotawaliwa na wanaume vimetapakaa kote katika kila sehemu ya dunia
Wanawake wengi wemakiuka misingi na mizizi ya utamanduni na kung‘oa asasi za kijamii na itikadi ambazo daima zimeendelea kumyanyasa na kumuumbua utu mwanamke tangu jadi. Watetezi wa haki za wanawake zamani walilaumu suala la serikali za mataifa kutochukua hatua za utekelezaji wa maazimio yaliyoendelea kupitishwa na umoja wa mataifa mwaka hadi mwaka. Huku masuala ya wanawake ya kijamii, utu na utamaduni yakishangiliwa kupitishwa, watetezi wameeleza wasiwasi wao ikiwa kupitishwa kwa maazimio kutasaidia kuleta maendeleo ya haraka kwa wanawake kimataifa au katika nchi moja. Fauka ya hayo, baadhi ya wachunguzi wanaonelea kuwa maazimio mengi hayadokezi hatua za kufikiwa haki za wanawake.
Maazimio mengi yanazungumzia juu ya kuondolewa kwa ubaguzi dhidi ya wanawake, kushiriki kwao katika uendelezaji wa amani ya kimataifa na ushirikiano wa kimataifa, majukumu yao katika jamii, mfuko wa umoja wa mataifa wa wanawake (unifem) na kuimarisha hadhi ya wanawake katika sekretariati ya umoja wa mataifa miongoni mwa shughuli nyingine katika mkabala huu. Wanawake wamejikakamua na kudhihirisha kuwa wao pia wana jukumu muhimu la kutekeleza ili kuyaongoza maisha yao na ya watu wengine. Wadumishaji wa dhuluma za kijinsia hawana budi kusalimu amri na kuukubali ukweli huu, wapende wasipende.
Mtazamo juu ya haki sawa unatokana na kukubaliwa na kuondolewa kwa aina zote za ubaya dhidi ya wanawake. Kwa bahati mbaya, itikadi na mila za kiasili bado hazitupi nafasi ya kuwashangilia wanawake wanaojitolea mhanga kutetea hadhi yao pamoja naya wanyonge wengine. Wao huonekana kama waasi, wapinga mila na watovu wa utii.Maswali
(a) Eleza chanzo cha dhuluma kwa wanawake.
(b) Huku ukitoa mafano, fafanua hali ya dhuluma kwa wanawake kama inavyodhihirika katika makala.
(c) Eleza hatua ambazo mwanamke amechukua kujikomboa
(d) Je, jamii imechangia vipi katika kumdunisha mwanamke
(e) Fafanua maana ya misemo ifuatayo;
i) Wamekiuka misingi
ii) Kupitishwa kwa maazimio
iii) Wanaojitolea mhanga
Date posted: September 19, 2019. Answers (1)
- Eleza maana ya maneno haya kama yalivyotumika katika shairi
(i) Makondeni
(ii) Jitwike
(iii) Kiola(Solved)
1.Kijana tuza makini, nikwambie usikile
Chakula mahotelini, si kizuri usikile
Ufikapo mlangoni, kizingiti usikile
2. Nenda kaseme nyumbani, kesho asubuhi siji
Nitakwenda makondeni, kawashunge shunge siji
Na hata hapo jioni, kama nitakuja siji
3. Na kama wenda mjini, upatapo nyumba panga
Upahame mizimuni, palozingirwa na panga
Hapana tena amani, kutwa mwapigana panga
4. Na kesho kija shambani, uonapo mti panda
Kwea hadi kileleni, ujifiche kwenye panda
Kaziyo ulinde chini, mimea tuliyopanda
5. Kishuka ola shinani, njugu merundika chungu
Njugu peleka nyumbani, zisije zikawa chungu
Kaanga sufuriani, au pia kwenye chungu
6. Kileta maji jioni, ndoo jitwike na kata
Kata njema ya majani, laini wezayo kata
Kumbuka ya kisimani, huteki ela kwa kata
7. Ninawahi kibandani, nikaliezeke paa
Nipate lindia nyuni, na wanyama kama paa
Kwani kiola angani, naona jua lapaa
8.Kisha takwea mtini, nimeona bivu tunda
Sina usono moyoni, ela tunda kisha tunda
Nimpe wangu mwendeni, jioni nishike tunda
9.Meanza wao uneni, hapo nami ndipo kamba
Leo wenda hawaoni, kama wa bahari kamba
Wajijaza kimiani, wakijitatia kamba
10. Mtoto wachoma yakini, japo liwe moja kaa
Ukikupata takoni, ni shida huwezi kaa
Ela hufaa mekoni, kutoka nswi na kaa
Eleza maana ya maneno haya kama yalivyotumika katika shairi
(i) Makondeni
(ii) Jitwike
(iii) Kiola
Date posted: August 6, 2019. Answers (1)
- Onyesha vile uhuru wa kishairi ulivyotumiwa na malenga(Solved)
1.Kijana tuza makini, nikwambie usikile
Chakula mahotelini, si kizuri usikile
Ufikapo mlangoni, kizingiti usikile
2. Nenda kaseme nyumbani, kesho asubuhi siji
Nitakwenda makondeni, kawashunge shunge siji
Na hata hapo jioni, kama nitakuja siji
3. Na kama wenda mjini, upatapo nyumba panga
Upahame mizimuni, palozingirwa na panga
Hapana tena amani, kutwa mwapigana panga
4. Na kesho kija shambani, uonapo mti panda
Kwea hadi kileleni, ujifiche kwenye panda
Kaziyo ulinde chini, mimea tuliyopanda
5. Kishuka ola shinani, njugu merundika chungu
Njugu peleka nyumbani, zisije zikawa chungu
Kaanga sufuriani, au pia kwenye chungu
6. Kileta maji jioni, ndoo jitwike na kata
Kata njema ya majani, laini wezayo kata
Kumbuka ya kisimani, huteki ela kwa kata
7. Ninawahi kibandani, nikaliezeke paa
Nipate lindia nyuni, na wanyama kama paa
Kwani kiola angani, naona jua lapaa
8.Kisha takwea mtini, nimeona bivu tunda
Sina usono moyoni, ela tunda kisha tunda
Nimpe wangu mwendeni, jioni nishike tunda
9.Meanza wao uneni, hapo nami ndipo kamba
Leo wenda hawaoni, kama wa bahari kamba
Wajijaza kimiani, wakijitatia kamba
10. Mtoto wachoma yakini, japo liwe moja kaa
Ukikupata takoni, ni shida huwezi kaa
Ela hufaa mekoni, kutoka nswi na kaa
Onyesha vile uhuru wa kishairi ulivyotumiwa na malenga
Date posted: August 6, 2019. Answers (1)
- Eleza muundo wa shairi hili(Solved)

Eleza muundo wa shairi hili
Date posted: August 6, 2019. Answers (1)