Trusted since 2008
Study resources on Kenyaplex

Get ready-made curriculum aligned revision materials

Exam papers, notes, holiday assignments and topical questions – all aligned to the Kenyan curriculum.

Andika visawe viwili vya nahau: Fanya inda.

Andika visawe viwili vya nahau:
Fanya inda.

Answers

sharon
i) Kuwa joka la mdimu
ii) Fanya unyambi
sharon kalunda answered the question on September 21, 2019 at 08:05

Answer Attachments

Exams With Marking Schemes

Related Questions

  • Changanua sentensi ifuatayo kwa kielelezo cha jedwali: Ule mkongojo ulioletewa babu utauzwa na fundi maarufu. (Solved)

    Changanua sentensi ifuatayo kwa kielelezo cha jedwali:
    Ule mkongojo ulioletewa babu utauzwa na fundi maarufu.

    Date posted: September 21, 2019 .    Answers (1)

  • Ainisha virai katika sentensi ifuatayo. Amenijibu kwa hasira. (Solved)

    Ainisha virai katika sentensi ifuatayo.
    Amenijibu kwa hasira.

    Date posted: September 21, 2019 .    Answers (1)

  • Tumia mzizi- enye katika sentensi kama kihusishi. (Solved)

    Tumia mzizi- enye katika sentensi kama kihusishi.

    Date posted: September 21, 2019 .    Answers (1)

  • Ainisha maneno katika sentensi ifuatayo:- Shehena ya dawa ilikuwa bandarini (Solved)

    Ainisha maneno katika sentensi ifuatayo:-
    Shehena ya dawa ilikuwa bandarini

    Date posted: September 21, 2019 .    Answers (1)

  • Onyesha muundo wa silabi katika neno wachanjwao (Solved)

    Onyesha muundo wa silabi katika neno wachanjwao

    Date posted: September 21, 2019 .    Answers (1)

  • Andika neno lenye mfumo ufuatao wa vitamkwa. Nazali ya ufizi + kipasuo cha kaakaa gumu + irabu ya juu nyuma + kizuiwa ghuna cha kaakaa... (Solved)

    Andika neno lenye mfumo ufuatao wa vitamkwa. Nazali ya ufizi + kipasuo cha kaakaa gumu + irabu ya juu nyuma + kizuiwa ghuna cha kaakaa laini + irabu ya chini wastani.

    Date posted: September 21, 2019 .    Answers (1)

  • Eleza jinsi uwililugha unaweza kuleta athari katika lugha na mawasiliano miongoni mwa wanajamii. (Solved)

    Eleza jinsi uwililugha unaweza kuleta athari katika lugha na mawasiliano miongoni mwa wanajamii.

    Date posted: September 19, 2019 .    Answers (1)

  • Eleza juhudi zozote tano zinazotumiwa kukiendeleza Kiswahili sanifu nchini Kenya. (Solved)

    Eleza juhudi zozote tano zinazotumiwa kukiendeleza Kiswahili sanifu nchini Kenya.

    Date posted: September 19, 2019 .    Answers (1)

  • Tambua shamirisho kipozi, kitondo na shamirisho ala katika sentensi ifuatayo. Baba amemnunulia mtoto fulana nzuri iliyoshonwa kwa uzi mwekundu. (Solved)

    Tambua shamirisho kipozi, kitondo na shamirisho ala katika sentensi ifuatayo.
    Baba amemnunulia mtoto fulana nzuri iliyoshonwa kwa uzi mwekundu.

    Date posted: September 19, 2019 .    Answers (1)

  • Kwa kutungia sentensi, tofautisha vitate hivi. i) Ghali ii) Gari (Solved)

    Kwa kutungia sentensi, tofautisha vitate hivi.
    i) Ghali
    ii) Gari

    Date posted: September 19, 2019 .    Answers (1)

  • Tumia =O‘ rejeshi. i) Msichana ambaye huja ni mwanasheria ii) Maovu ambayo aliyatenda hayasahauliki (Solved)

    Tumia ‗O‘ rejeshi.
    i) Msichana ambaye huja ni mwanasheria
    ii) Maovu ambayo aliyatenda hayasahauliki

    Date posted: September 19, 2019 .    Answers (1)

  • Andika katika hali ya udogo Mbwa mwenye ukali alimfukuza mtoto (Solved)

    Andika katika hali ya udogo
    Mbwa mwenye ukali alimfukuza mtoto

    Date posted: September 19, 2019 .    Answers (1)

  • Tunga sentensi kwa kutumia nomino katika ngeli ya pa- ku- mu. (Solved)

    Tunga sentensi kwa kutumia nomino katika ngeli ya pa- ku- mu.

    Date posted: September 19, 2019 .    Answers (1)

  • Taja irabu mbili za nyuma kisha ueleze kwa nini huitwa hivyo. (Solved)

    Taja irabu mbili za nyuma kisha ueleze kwa nini huitwa hivyo.

    Date posted: September 19, 2019 .    Answers (1)

  • Eleza muundo wa shairi hili (Solved)

    1.Kijana tuza makini, nikwambie usikile
    Chakula mahotelini, si kizuri usikile
    Ufikapo mlangoni, kizingiti usikile

    2. Nenda kaseme nyumbani, kesho asubuhi siji
    Nitakwenda makondeni, kawashunge shunge siji
    Na hata hapo jioni, kama nitakuja siji

    3. Na kama wenda mjini, upatapo nyumba panga
    Upahame mizimuni, palozingirwa na panga
    Hapana tena amani, kutwa mwapigana panga

    4. Na kesho kija shambani, uonapo mti panda
    Kwea hadi kileleni, ujifiche kwenye panda
    Kaziyo ulinde chini, mimea tuliyopanda

    5. Kishuka ola shinani, njugu merundika chungu
    Njugu peleka nyumbani, zisije zikawa chungu
    Kaanga sufuriani, au pia kwenye chungu

    6. Kileta maji jioni, ndoo jitwike na kata
    Kata njema ya majani, laini wezayo kata
    Kumbuka ya kisimani, huteki ela kwa kata

    7. Ninawahi kibandani, nikaliezeke paa
    Nipate lindia nyuni, na wanyama kama paa
    Kwani kiola angani, naona jua lapaa

    8.Kisha takwea mtini, nimeona bivu tunda
    Sina usono moyoni, ela tunda kisha tunda
    Nimpe wangu mwendeni, jioni nishike tunda

    9.Meanza wao uneni, hapo nami ndipo kamba
    Leo wenda hawaoni, kama wa bahari kamba
    Wajijaza kimiani, wakijitatia kamba

    10. Mtoto wachoma yakini, japo liwe moja kaa
    Ukikupata takoni, ni shida huwezi kaa
    Ela hufaa mekoni, kutoka nswi na kaa

    Eleza muundo wa shairi hili

    Date posted: August 6, 2019 .    Answers (1)

  • Andika ubeti wa nane katika lugha nathari (Solved)

    Andika ubeti wa nane katika lugha nathari

    Date posted: August 6, 2019 .    Answers (1)

  • Eleza maana tatu za neno chungu kama lilivyotumika katika shairi (Solved)

    Eleza maana tatu za neno chungu kama lilivyotumika katika shairi

    Date posted: August 6, 2019 .    Answers (1)

  • Fafanua sifa zozote nne za ngomezi. (Solved)

    Fafanua sifa zozote nne za ngomezi.

    Date posted: August 6, 2019 .    Answers (1)

  • Eleza ujumbe uliowasilishwa na ngomezi katika fasihi simulizi. (Solved)

    Eleza ujumbe uliowasilishwa na ngomezi katika fasihi simulizi.

    Date posted: August 6, 2019 .    Answers (1)

  • Taja aina zozote tatu za vitendawili (Solved)

    Taja aina zozote tatu za vitendawili

    Date posted: August 6, 2019 .    Answers (1)