Fafanua jinsi mambo hafuatayo huweza kusababisha kutoweka kwa lugha: i) Vita ii) Ndoa za mseto

      

Fafanua jinsi mambo hafuatayo huweza kusababisha kutoweka kwa lugha:
i) Vita
ii) Ndoa za mseto

  

Answers


sharon
i)Vita husababisha uhamaji / ukimbizi wa watu kutoka sehemu moja hadi nyingine wahusika wakasahau lugha asiha/mazingira mageni.
ii).1. Watoto hujifunza lugha moja au nyingine au kuzalisha lugha yao.
2. Mke au mume hulazimika kujifunza lugha ya pili akazungumza lugha ya mwenzake.
sharon kalunda answered the question on September 21, 2019 at 08:58


Next: Eleza sababu nne zinazowafanya vijana kupenda kutumia sheng' katika mawasiliano yao.
Previous: A quantity k is partly constant and partly varies as M when k = 45, M=20 and when K = 87, M = 48 a)Find the...

View More Kiswahili Questions and Answers | Return to Questions Index


Exams With Marking Schemes

Related Questions