Huku ukitoa mifano, bainisha mbinu mbili zinazotumiwa kuunda istilahi mpya katika jamii ya leo.

      

Huku ukitoa mifano, bainisha mbinu mbili zinazotumiwa kuunda istilahi mpya katika jamii ya leo.

  

Answers


sharon
i) Ukopaji /utohozi/uswahilishaji wa maneno kutoka lugha nyingine- chaja, televisheni.
ii) Mikato ya maneno kuunganisha vifupisho vya maneno ya Kiswahili/akronimu- Ukimwi, Runinga, chajio tarkilishi teknohama
iii) Kuunganisha maneno kuunda nomino- ambata shikamoo, mwanadamu, nguvukazi
iv) Uradidi/takriri ya neno- sawasawa kizunguzungu, tangatanga, wasiwasi
v) Uambishaji/unyambulishi
Piga – pigo
Uma- Umia, umiza, umio
Teua- Mteule, uteule, uteuzi
vi) Ubunaji/ uvumbuzi wa msamiati wa kiteknolojia- kikokotoo, kiotomotela, afyuni
vii) Kusanifisha/kuidhinisha /musimu- matatu
viii) Tafsiri sisisi- mama /baba sukari (sugar mummy/daddy)
Tanbihi: Mtahiniwa atoe mfano ili atuzwe alama.
sharon kalunda answered the question on September 21, 2019 at 09:02


Next: A quantity k is partly constant and partly varies as M when k = 45, M=20 and when K = 87, M = 48 a)Find the...
Previous: Make k the subject of the formula.

View More Kiswahili Questions and Answers | Return to Questions Index


Exams With Marking Schemes

Related Questions