Ainisha vihusishi vilivyopigiwa mstari. Atieno ndiye mtoto wa mwisho wa Ojwang lakini ni mwerevu kuliko wengine.

      

Ainisha vihusishi vilivyopigiwa mstari.
Atieno ndiye mtoto wa mwisho wa Ojwang lakini ni mwerevu kuliko wengine.

  

Answers


sharon
wa- a unganifu
kuliko –kulinganisha.
sharon kalunda answered the question on September 23, 2019 at 14:35


Next: Unda nomino kutokana na kivumishi kifuatacho: Tepetevu
Previous: Andika sentensi ifuatayo kwa kufuata maagizo . Nimewaleta askari kituoni ili wawalinde wananchi wote wanaosumbuliwa na majambazi. Anza: Wananchi........

View More Kiswahili Questions and Answers | Return to Questions Index


Exams With Marking Schemes

Related Questions