Get premium membership and access questions with answers, video lessons as well as revision papers.

Andika sentensi ifuatayo kwa kufuata maagizo . Nimewaleta askari kituoni ili wawalinde wananchi wote wanaosumbuliwa na majambazi. Anza: Wananchi........

      

Andika sentensi ifuatayo kwa kufuata maagizo .
Nimewaleta askari kituoni ili wawalinde wananchi wote wanaosumbuliwa na majambazi.
Anza:
Wananchi........

  

Answers


sharon
Wananchi wote wanaosumbuliwa na majambazi wameletewa askari kituoni ili wawalinde.
sharon kalunda answered the question on September 23, 2019 at 14:44


Next: Ainisha vihusishi vilivyopigiwa mstari. Atieno ndiye mtoto wa mwisho wa Ojwang lakini ni mwerevu kuliko wengine.
Previous: Use logarithm tables to solve

View More Kiswahili Questions and Answers | Return to Questions Index


Learn High School English on YouTube

Related Questions