1.
UCHAFUZI WA MAZINGIRA
ZIWA NAKURU
2.
a. Maji taka kuingia mbugani
b. Miundo msingi duni
3.
a. Kuhama kwa ndege
b. Kuangamia kwa wanyama pori
c. Maradhi kadha kwa wanyama pori
d. Mkondo wa maji kuzibwa
4.
a. KWS kutokuwa na bajeti ya kusafisha mbuga
b. Utepetevu wa NEMA kwa kukosa kuweka sheria kali.
5.
a. Baraza la mji kuhakikisha makazi ni safi
b. Baraza la mji kuzoa taka kutoka makazi ya watu
c. Wananchi kuhimizwa kupunguza matumizi ya vitu vya plastiki
d. Kuweka bajeti ya kusafisha mazingira
6.
a. Kupenyeza
Kupita katikati
b. Utepetevu
Ulegevu, uvivu
marto answered the question on September 24, 2019 at 08:38
- Andika sentensi ifuatayo kwa kufuata maagizo .
Nimewaleta askari kituoni ili wawalinde wananchi wote wanaosumbuliwa na majambazi.
Anza:
Wananchi........(Solved)
Andika sentensi ifuatayo kwa kufuata maagizo .
Nimewaleta askari kituoni ili wawalinde wananchi wote wanaosumbuliwa na majambazi.
Anza:
Wananchi........
Date posted: September 23, 2019. Answers (1)
- Ainisha vihusishi vilivyopigiwa mstari.
Atieno ndiye mtoto wa mwisho wa Ojwang lakini ni mwerevu kuliko wengine.(Solved)
Ainisha vihusishi vilivyopigiwa mstari.
Atieno ndiye mtoto wa mwisho wa Ojwang lakini ni mwerevu kuliko wengine.
Date posted: September 23, 2019. Answers (1)
- Unda nomino kutokana na kivumishi kifuatacho:
Tepetevu(Solved)
Unda nomino kutokana na kivumishi kifuatacho:
Tepetevu
Date posted: September 23, 2019. Answers (1)
- Andika upya sentensi kwa kutumia "O" rejeshi tamati.
Gari lililoanguka si lile unalolizungumzia.(Solved)
Andika upya sentensi kwa kutumia "O" rejeshi tamati.
Gari lililoanguka si lile unalolizungumzia.
Date posted: September 23, 2019. Answers (1)
- Tunga sentensi sahihi ukitumia vitenzi vifuatavyo katika hali ya kufanyiza.
i) - La
ii) - Nywa
iii) -Fa(Solved)
Tunga sentensi sahihi ukitumia vitenzi vifuatavyo katika hali ya kufanyiza.
i) - La
ii) - Nywa
iii) -Fa
Date posted: September 23, 2019. Answers (1)
- Toa maana mbili ya sentensi ifuatayo:
Leteni!(Solved)
Toa maana mbili ya sentensi ifuatayo:
Leteni!
Date posted: September 23, 2019. Answers (1)
- Yakinisha sentensi ifuatayo katika wakati ujao hali timilifu wingi.
Msomi hakutuzwa siku hiyo.(Solved)
Yakinisha sentensi ifuatayo katika wakati ujao hali timilifu wingi.
Msomi hakutuzwa siku hiyo.
Date posted: September 23, 2019. Answers (1)
- Kanusha sentensi ifuatayo :-
Kuliko na vita kwahitaji amani.(Solved)
Kanusha sentensi ifuatayo :-
Kuliko na vita kwahitaji amani.
Date posted: September 23, 2019. Answers (1)
- Bainisha shamirisho kipozi na kitondo katika sentensi hii.
Nyanya ametengezewa kitanda kizuri na mjukuu wake.(Solved)
Bainisha shamirisho kipozi na kitondo katika sentensi hii.
Nyanya ametengezewa kitanda kizuri na mjukuu wake.
Date posted: September 23, 2019. Answers (1)
- Bainisha mofimu - LI- katika tungo hii.
Alivyolikimbilia(Solved)
Bainisha mofimu - LI- katika tungo hii.
Alivyolikimbilia
Date posted: September 23, 2019. Answers (1)
- Eleza sifa bainifu za sauti /j/.(Solved)
Eleza sifa bainifu za sauti /j/.
Date posted: September 23, 2019. Answers (1)
- Andika misemo inayoafiki hali zifuatazo
(i) Kubahatika
(ii) Ubahaili(Solved)
Andika misemo inayoafiki hali zifuatazo
(i) Kubahatika
(ii) Ubahaili
Date posted: September 23, 2019. Answers (1)
- Akifisha sentensi ifuatayo.
Juma Maria ulimwona Farida Maria la hakuwepo jana.(Solved)
Akifisha sentensi ifuatayo.
Juma Maria ulimwona Farida Maria la hakuwepo jana.
Date posted: September 23, 2019. Answers (1)
- Changanua sentensi ifuatayo kwa kutumia vishale Alimwona mamba majini alipopiga mbizi.(Solved)
Changanua sentensi ifuatayo kwa kutumia vishale
Alimwona mamba majini alipopiga mbizi.
Date posted: September 23, 2019. Answers (1)
- Tambua aina ya kivumishi na kihusishi katika sentensi ifuatayo.
Kijana mgeni amekaribishwa na mgeni.(Solved)
Tambua aina ya kivumishi na kihusishi katika sentensi ifuatayo.
Kijana mgeni amekaribishwa na mgeni.
Date posted: September 23, 2019. Answers (1)
- Bainisha matumizi ya kiambishi "ku" katika sentensi hii.
Naomi atakupikia chai alafu aende kule uwanjani.(Solved)
Bainisha matumizi ya kiambishi "ku" katika sentensi hii.
Naomi atakupikia chai alafu aende kule uwanjani.
Date posted: September 23, 2019. Answers (1)
- Bainisha shamirisho katika tungo lifuatalo.
Mwanafunzi alipewa dawati na mwalimu jana jioni(Solved)
Bainisha shamirisho katika tungo lifuatalo.
Mwanafunzi alipewa dawati na mwalimu jana jioni.
Date posted: September 23, 2019. Answers (1)
- Onyesha kiarifu katika sentensi ifuatayo
Mtoto aliyezungumza na nyanyake ameingia darasa lililochafuliwa na watundu.(Solved)
Onyesha kiarifu katika sentensi ifuatayo
Mtoto aliyezungumza na nyanyake ameingia darasa lililochafuliwa na watundu.
Date posted: September 23, 2019. Answers (1)
- Kutokana na kigezo cha jinsi hewa inavyozuliwa,taja aina mbili za konsonanti na utolee mifano kila moja.(Solved)
Kutokana na kigezo cha jinsi hewa inavyozuliwa,taja aina mbili za konsonanti na utolee mifano kila moja.
Date posted: September 23, 2019. Answers (1)
- Idara ya polisi nchini imelaumiwa kwa muda mrefu kutokana na visa vya mauaji ya kiholela, utepetevu na ufisadi miongoni mwao.(Solved)
Idara ya polisi nchini imelaumiwa kwa muda mrefu kutokana na visa vya mauaji ya kiholela, utepetevu na ufisadi miongoni mwao.Ni kutokana na kilio cha mwananchi pamoja na mashirika yasiyo ya kiserikali ambapo serikali imejitolea sabili kubadili hali katika idara hiyo huku tume mbali mbali zilizobuniwa zikitoa mapendekezo muhimu ya kurekebisha idara hiyo. Matokeo ya hivi punde kutoka kwa shirika la Transparency International liliorodhesha idara ya polisi kama idara fisadi zaidi nchini,maoni ambayo yalisisitiziwa na shirika la kutetea haki za kibinadamu .Ufisadi bado umekita mizizi katika idara ya polisi tangu mabadiliko yaanze upande wa trafiki na hata ndani ya polisi,.Serikali imejitolea kupambana na ufisadi unaonekana kuwa kidonda ndugu katika idara ya polisi. Wananchi wanasema kuwa polisi ni mafisadi na kusahau kuwa ufisadi unashirikisha watu wawili na wote wanapaswa kufunguliwa mashtaka,lazima raia na polisi wazingatie hili.Na ili kuleta mabadiliko muhimu katika idara ya polisi,mapendekezo yote pamoja na ya tume zingine za hapo awali lazima yatekelezwa na kwa mujibu wa katiba mpya.Lazima mabadiliko yaanze kuanzia juu kwani maafisa wadogo hulazimiswa kuchukua hongo ili wapelekee wakubwa wao,ni lazima shughuli ya kuwachagua maafisa waliobora ifanyike kisheria ili mabadiliko yaanze kutoka kwa wakuu wa maafisa wa polisi.
Polisi kidogo wameweza kubadili ile lugha yao ya matusi na ukali kwa rai.Raia nao hawajabadilika,bado wana uwoga dhidi ya polisi na itachukua muda kwani wanadhania kuwa kikosi ni kile kile cha kitambo.Kwa upande wa polisi, hakuna mageuzi yamefanyika.Unaposafiri kuja mjini polisi wangali wana chukua hongo kutoka kwa wenye matatu na kuwaruhusu kubeba kupita kiasi, pia usalama umedorora sana kwani kumekuwa na visa vingi vya mauaji hapa mjini.ukiangalia maafisa wa polisi hakuna mageuzi makubwa yameshuhudiwa haswa kwa upande wa maafisa wa trafiki bado ni wale wale na ufisadi ungali upo.
Mabadiliko ambayo tunataka ni ile polisi wasikae mahali kwa muda hadi wanajuana na mafisadi na majambazi.Maafisa wa polisi wanafaa kuhudumu katika kituo kimoja kwa muda usiozidi miaka mitatu.Kwa kufuata njia hiyo mabadiliko yatapatikana.Juhudi nyingi zikielekezwa katika kubadili kikosi cha polisi wananchi wanapaswa kuhamasishwa ili nao wawezakubadilikahaswa kuhusuiana na mtazamo wao kwa maafisa wa polisi .Na huku tukijaribu kubadili maafisa wa polisi wananchi pia wanapaswa kuelimishwa ili waweze kubadili mtazamo wao kuhusu maafisa hao.Ni bayana kuwa ili kuweza kuleta mabadiliko ya kutamanika katika kikosi cha polisi na haswa katika kupambana na ufisadi uliokita mizizi wananchi sawia na maafisa wa polisi wanajukumu la pamoja kuleta mabadiliko hayo yatakayopelekea kuwepo kwa mlahaka mzuri kati ya maafisa wa polisi na raia.Hatimaye kuwepo kwa huduma bora itakayochangia pakubwa kuboresha uchumi wa taifa na kuafikiwa kwa ruwaza ya mwaka 2030.
Maswali
a) Kipe kifungu hiki kichwa mwafaka.
b) Thibitisha kwamba ufisadi ni kidonda ndugu ukirejelea makala haya..
c) Ni vipi ufisadi katika idara ya polisi unaweza kuzikwa katika kaburi la sahau?
d) "Wananchi ndio wanapaswa kulaumiwa kwa ufisadi."Thibitisha.
(e) "Serikali imepiga hatua katika kuleta mabadiliko katika idara ya polisi.Onyesha kinayacha usemi huu.
(f) Taja manufaa yoyote mawili yanayotokana na mabadiliko katika idara ya polisi
(g) Eleza maana ya:
(i) Mlahaka
(ii) Utepetevu
(iii) Kujitolea sabili
Date posted: September 23, 2019. Answers (1)