Trusted since 2008
Study resources on Kenyaplex

Get ready-made curriculum aligned revision materials

Exam papers, notes, holiday assignments and topical questions – all aligned to the Kenyan curriculum.

Tofautisha matumizi ya ‘Ngali’ katika tungo hizi. Mama angali mlimani Otiende angalisoma kwa bidi angaliishi maisha mema.

Tofautisha matumizi ya ‘Ngali’ katika tungo hizi.

Mama angali mlimani

Otiende angalisoma kwa bidi angaliishi maisha mema.

Answers


Martin
Mama angali mlimani - kitendo kinaendelea

Otiende angalisoma kwa bidi angaliishi maisha mema.- hakuna uwezekano wa vitendo hivi kutokea
marto answered the question on September 24, 2019 at 09:12

Answer Attachments

Exams With Marking Schemes

Related Questions