Eleza matumizi ya "na" katika sentensi ifuatayo. Simba aliuawa na wawindaji haramu nasi tukawaripoti.

      

Eleza matumizi ya "na" katika sentensi ifuatayo.
Simba aliuawa na wawindaji haramu nasi tukawaripoti.

  

Answers


sharon
na – kuonyesha mtendaji (kihusishi)
na – kifupishi cha nafsi (na sisi)
sharon kalunda answered the question on September 24, 2019 at 10:31


Next: The cost of maize flour and millet flour is Kshs 44 and Kshs 56 respectively. Calculate the ratio in which they were mixed if a...
Previous: Weka vitenzi hivi katika hali ya kuamrisha wingi. (i) -nywa (ii) Tubu

View More Kiswahili Questions and Answers | Return to Questions Index


Exams With Marking Schemes

Related Questions