Geuza sentensi hii hadi usemi wa taarifa: "sitakuja shuleni kesho", mwalimu mkuu akasema,nitaenda kuhudhuria mkutano Mombasa.

      

Geuza sentensi hii hadi usemi wa taarifa:
"sitakuja shuleni kesho", mwalimu mkuu akasema,nitaenda kuhudhuria mkutano Mombasa.

  

Answers


sharon
Mwalimu mkuu alisema kuwa hangekuja shuleni siku iliyofuata kwa kuwa angeenda kuhudhuria mkutano Mombasa.
sharon kalunda answered the question on September 24, 2019 at 11:45


Next: Using a ruler and a pair of compass only; a)Construct a triangle PQR such that PR=7.5cm, PQ=3.0cm and
Previous: 
Huku ukitumia mifano, tofautisha sentensi ambatano na sentensi changamano.

View More Kiswahili Questions and Answers | Return to Questions Index


Exams With Marking Schemes

Related Questions