Huku ukitumia mifano, tofautisha sentensi ambatano na sentensi changamano.

      

Huku ukitumia mifano, tofautisha sentensi ambatano na sentensi changamano.

  

Answers


sharon
Sentensi ambatano – huundwa kwa sentensi mbili na kiunganizi.
Changamano – huundwa na vishazi viwili au zaidi, kimoja huru na kingine / vingine tegemezi.
sharon kalunda answered the question on September 24, 2019 at 11:48


Next: Geuza sentensi hii hadi usemi wa taarifa: "sitakuja shuleni kesho", mwalimu mkuu akasema,nitaenda kuhudhuria mkutano Mombasa.
Previous: The figure shows a right pyramid mounted onto a rectangular block. The length AB=8cm, BC = 6cm, CH = 3cm and VC = 15cm Given that...

View More Kiswahili Questions and Answers | Return to Questions Index


Exams With Marking Schemes

Related Questions