Uozo katika jamii ni maudhui yaliyoshughulikiwa pakubwa katika diwani ya Damu Nyeusi na Hadithi nyingine. Kwa kurejelea hadithi zozote tano fafanua kauli hii.

      

Uozo katika jamii ni maudhui yaliyoshughulikiwa pakubwa katika diwani ya Damu Nyeusi na Hadithi nyingine. Kwa kurejelea hadithi zozote tano fafanua kauli hii.

  

Answers


sharon
a) Samaki wa nehi za joto
Ukatili wa Peter kwa wafanyikazi wake Christine kuavya mimba Christian kujihusisha na mapenzi ya kiholela na Peter
Biashara haramu - ubadilishaji wa fedha Peter kuwapuja wavuvi Wazungu kujihusisha katika uasnerati.
b) Damu Nyeusi
Dereva kukataa kumbeba Fikirini kwa vile ni mweusi
Fikirini kutozwa faini bure
Fikirini kuitiwa polisi kwa kutofunga zipu
Wanafunzi na mhadhili kumbagua
c) Gilasi ya mwisho makaburini
Itikadi za ushirikina zilizozuia watu kutahadhari
Ukaidi wa vijana kama Semkwa na Josefina kukataa maonyo ya Msoi Vijana kujihusisha na anasa Wakora kuwaibia wateja na wahudumu wa baa la makaburini 4x1 = 4
d) Kikaza
Ufisadi wa Bw Mtajika Bw na Bi Mtaika kukaidi sheria za kikaza Baadhi ya wananchi kuwasaliti wanakijiji kama Bw Machupa.
Wanakijiji kukosa uwajibikaji kwa kutojishughulisha na athari za chaguo lao la uongozi
Bwana Mtajika kuwadanganya wanakijiji kwa kuwapa ahadi za uongo
e) Maeko
Unywaji wa pombe kupindukia
Duni kuwasumbua wanakijiji kwa nyimbo zake
Duni kumtesa Jamila
Ubinafsi - Salim kumshauri jamila
amwache Duni amwoe yeye
Wanakijiji kutoa ushauri mbaya kwa Jamila
sharon kalunda answered the question on September 25, 2019 at 08:44


Next: Explain the benefits of the new East African cooperation to Kenya.
Previous: The following balances were obtained from the books of Nakhulo Traders on 31st Dec 2011 Additional information (i)Closing stock was valued at sh.72,000 (ii)Telephone charges prepaid shs.1100 (iii)Outstanding water...

View More Kiswahili Questions and Answers | Return to Questions Index


Exams With Marking Schemes

Related Questions