Get premium membership and access questions with answers, video lessons as well as revision papers.

"Asanteni sana kwa kuja, sisi. . . hukabiliana na mengi."

      

Damu Nyeusi na Hadithi nyingine : Ken Walibora na Said A. Mohamed
"Asanteni sana kwa kuja, sisi. . . hukabiliana na mengi."
i) Eleza muktadha wa dondoo hili.
ii) Fafanua matukio yaliyosababisha mkutano huu. (alama 4)
iii) Jadili changamoto sita zinazokumba jinsia ya kike katika hadithi hii.

  

Answers


sharon
a)
- msemaji - Bi Margret (mwalimu mkuu wa A.T)
- wasemewa - wazazi wa Sela
- mahali - ofisini mwake (mwalimu mkuu)
- walifika kujua sababu ya mwalimu mkuu kuwaita shuleni
b)
- sista alichunguza wanafunzi, matokeo yalionyesha Sela kuwa na ujauzito
- siku ya tamasha za muziki Sela alianza urafiki wake na masazu na kuwa na mikutano ya faragha wakati wa likizo uliopelekea Sela kupata ujauzito
c) Changamoto za iinsia ya kike
- Kuhadaiwa kimapenzi kama vile Sela
- Kutwika mzigo wa malezi kama vile mama Sela
- Kuathirika kimasomo kama vile Sela na wasichana wenzake
- Kufukuzwa bila sababu mahsusi kama vile mama Sela
- Kulaumiwa bila makosa kama vile mama Sela
- Kuathirika kisaikolojia kama vile Sela, baada ya Masazu kukataa mimba kwa mara ya kwanza (kusalitiwa)
sharon kalunda answered the question on September 25, 2019 at 13:36


Next: The use of motor cycles transport is becoming very popular in both rural and urban areas of Kenya. Explain the limitation a business that relies...
Previous: The following transactions took place during the month of June 2010 in Mali traders. June 1st: Started business worth shs 140,000 deposited into the bank accounts 2nd :...

View More Kiswahili Questions and Answers | Return to Questions Index


Learn High School English on YouTube

Related Questions