Eleza maana ya ngoma katika fasihi simulizi kisha utoe dhima zake nne.

      

Eleza maana ya ngoma katika fasihi simulizi kisha utoe dhima zake nne.

  

Answers


sharon
Ngoma
- Uchezeshaji wa viungo vya mwili kuambatana na mdundo au mwondoko maalumu.

Dhima
- Kuburudisha
- Kitambulisho cha jamii
- Kuhifadhi utamaduni na kuuendeleza
- Kukuza uzalendo wa jamii
- Kuelimisha mfano kupitia kwa nyimbo
- Kuleta utangamano katika jamii
- Kukuza ubunifu kwa wanaocheza
sharon kalunda answered the question on October 1, 2019 at 09:06


Next: Describe the life history of a housefly under the headings. i)Eggs ii)Maggots iii)Pupa iv)Imago
Previous: The graph below shows the shape of the curve obtained by a student when solid X was heated to boiling.

View More Kiswahili Fasihi Questions and Answers | Return to Questions Index


Exams With Marking Schemes

Related Questions