Get premium membership and access questions with answers, video lessons as well as revision papers.
- Maombi maalumu ya kumtakia Mungu / mizimu kumwadhibu mhusika mwovu.
- Ni maombi ya laana au mambaya kutoka kwa anayehisi ametendewa maovu na wengine.
sharon kalunda answered the question on October 1, 2019 at 09:10
- Eleza maana ya ngoma katika fasihi simulizi kisha utoe dhima zake nne.(Solved)
Eleza maana ya ngoma katika fasihi simulizi kisha utoe dhima zake nne.
Date posted: October 1, 2019. Answers (1)
- Ewe mpwa wangu,
Kwetu hakuna mwoga, usiwe kama msichana.(Solved)
Soma wimbo ufuatao kisha ujibu maswali
Ewe mpwa wangu,
Kwetu hakuna mwoga, usiwe kama msichana.
Uoga ukikufika, huenda ni wa akina mamayo,
Fahali tulichinja ili uwe mwanamume
Iwapo utatingiza kichwa
Uhamie kwa wasiokatwa
Waume wa mbari yetu
Si waoga wa kisu
Wao hukatwa kuanzia macheo hadi machweo.
Simama jicho liwe juu
Ngariba alilala jikoni
Visu ametia makali
Kabiliana na kisu kikali
Wengi wasema ni kikali
Mbuzi utampata
Na hata shamba la mahindi
Usiende kwa wasiotahiri.
MASWALI
(a) Huu ni wimbo gani? Fafanua
(b) Eleza shughuli mbili za kiuchumi zinazodokezwa na wimbo huu.
(c) Onyesha taasubi ya kiume inavyojitokeza katika wimbo huu.
Date posted: October 1, 2019. Answers (1)
- Mtu mmoja alimpa mke wake nambari yake ya simu.(Solved)
Soma utungo ufuatao kisha ujibu maswali.
Mtu mmoja alimpa mke wake nambari yake ya simu. Kila mara bibi akipigia mumewe simu, ilipokelewa na sauti nyororo "mteja wa nambari uliopiga hapatikani kwa sasa."Alifunga safari kumtembelea mume wake mjini na kukabiliana na huyu kisura.
MASWALI
a) Bainisha kipera cha utungo huu.
b) Onyesha sifa tano za kipera hiki.
c) Eleza manufaa tano ya kipera hiki.
Date posted: October 1, 2019. Answers (1)
- a) Kanda la usufi ni anwani mwafaka.
Fafanua kwa kutolea mifano.
(b) Lini angepata nafasi ya kupenya kwenye chungio…"
Fafanua jinsi msemewa angepata nafasi na changamoto zake.(Solved)
Kanda la Usufi - (R. Nyaga)
(a) Kanda la usufi ni anwani mwafaka.
Fafanua kwa kutolea mifano.
(b) Lini angepata nafasi ya kupenya kwenye chungio…"
Fafanua jinsi msemewa angepata nafasi na changamoto zake.
Date posted: October 1, 2019. Answers (1)
- Ningemweka hai afikishwe mahakamani kweli idhihiri na uongo ujitenge".(Solved)
Kidagaa Kimemwozea; Ken Walibora
Ningemweka hai afikishwe mahakamani kweli idhihiri na uongo ujitenge".
(a) Eleza muktadha wa dondoo.
(b) Fafanua kwa kutolea mifano ukweli wa kauli "kweli idhihiri".
(c) Eleza hulka ya mnenaji.
(d) Vitaje vitushi vyovyote vitatu vilivyomshangaza msemaji kulingana na muktadha wa dondoo.
Date posted: October 1, 2019. Answers (1)
- Pauline Kea: Kigogo
'Hivi vishahada vyao wanavyovipata siku hizi vinawavimbisha vichwa!'
(a) Eleza muktadha wa dondoo hili.
(b) Taja tamathali zozote mbili zinazojitokeza katika dondoo hili.
(c)...(Solved)
Pauline Kea: Kigogo
'Hivi vishahada vyao wanavyovipata siku hizi vinawavimbisha vichwa!'
(a) Eleza muktadha wa dondoo hili.
(b) Taja tamathali zozote mbili zinazojitokeza katika dondoo hili.
(c) Eleza changamoto zilizomkabili mrejelewa na wenzake.
Date posted: September 24, 2019. Answers (1)
- Assumpta Matei: Chozi la Heri
Alijiona kama mfa maji ambaye anakabiliwa na mtutumo wa mawimbi ya misiba, mmoja baada ya mwingine.
(a) Bainisha muktadha wa dondoo hili....(Solved)
Assumpta Matei: Chozi la Heri
Alijiona kama mfa maji ambaye anakabiliwa na mtutumo wa mawimbi ya misiba, mmoja baada ya mwingine.
(a) Bainisha muktadha wa dondoo hili.
(b) Eleza sifa tatu za anayerejelewa katika dondoo hili.
(c) Eleza tamathali ya usemi iliyotumika katika dondoo hili.
(d) Fafanua masaibu yaliyomkumba mrejelewa.
(e) Huku ukitolea mifano riwayani, jadili matatizo yanayowakumba wanajamii katika ndoa.
Date posted: September 24, 2019. Answers (1)
- Alifa chokocho na Dumu Kayanda: Tumbo Lisiloshiba
'Doa ndio kawaida inayobainisha maisha ya mwanadamu.'Onyesha ukweli wa kauli hii kwa mujibu wa hadithi za: Shogake Dada ana...(Solved)
Alifa chokocho na Dumu Kayanda: Tumbo Lisiloshiba
'Doa ndio kawaida inayobainisha maisha ya mwanadamu.'Onyesha ukweli wa kauli hii kwa mujibu wa hadithi za: Shogake Dada ana Ndevu, Mame Bakari, Shibe Inatumaliza na Mtihani wa Maisha.
Date posted: September 24, 2019. Answers (1)
- Taja baadhi ya maudhui yanayojitokeza katika hadithi ya tumbo lisiloshiba? (Solved)
Taja baadhi ya maudhui yanayojitokeza katika hadithi ya tumbo lisiloshiba?
Date posted: September 18, 2019. Answers (1)
- Taja mifano ya taswira katika hadithi ya tumbo lisiloshiba? (Solved)
Taja mifano ya taswira katika hadithi ya tumbo lisiloshiba?
Date posted: September 18, 2019. Answers (1)
- Taja lugha za mahakama?(Solved)
Taja lugha za mahakama?
Date posted: August 24, 2019. Answers (1)
- Taja vipera vya mazungumzo(Solved)
Taja vipera vya mazungumzo
Date posted: August 24, 2019. Answers (1)
- RIWAYA
S.A MOHAMED: UTENGANO
“ Katu asingajitia kibuibui na kutanga na njia. Lo, kachoshwa na shimiri za baruti
anazoshindiliwa moyoni mwake.”
a) eleza muktadha wa dondoo hili.
b) taja na...(Solved)
RIWAYA
S.A MOHAMED: UTENGANO
“ Katu asingajitia kibuibui na kutanga na njia. Lo, kachoshwa na shimiri za baruti
anazoshindiliwa moyoni mwake.”
a) eleza muktadha wa dondoo hili.
b) taja na ufafunue tamathali ya usemi iliyotumika katika dondoo hili
c) Eleza umuhimu wa kisa kinachorejelewa na dondoo.
d) kwa kurejelea matukio mengine katika riwaya ya Utengano, fafanua maudhui
mawili yayoashiriwa na dondoo hili.
Date posted: June 29, 2019. Answers (1)
- Bainisha maudhui yanayojitokeza katika riwaya ya chozi la heri(Solved)
Bainisha maudhui yanayojitokeza katika riwaya ya chozi la heri
Date posted: June 14, 2019. Answers (1)
- Damu Nyeusi
Jadili maudhui ya elimu kwa mujibu wa "Kanda la Usufi", "Shaka ya Mambo"
na "Tazama na Mauti"(Solved)
Damu Nyeusi
Jadili maudhui ya elimu kwa mujibu wa "Kanda la Usufi", "Shaka ya Mambo"
na "Tazama na Mauti"
Date posted: May 7, 2019. Answers (1)
- Kidagaa Kimemwozea:
"Wasemao husema, atafutaye hachoki."
(a) Fafanua muktadha wa dondoo hili.
(b) Kauli hii ina tnaana gani kwa mujibu wa muktadha huu.
(c) Jadili umuhimu wa kinachotafutwa katika...(Solved)
Kidagaa Kimemwozea:
"Wasemao husema, atafutaye hachoki."
(a) Fafanua muktadha wa dondoo hili.
(b) Kauli hii ina tnaana gani kwa mujibu wa muktadha huu.
(c) Jadili umuhimu wa kinachotafutwa katika riwaya ya Kidagaa
Kimemwozea.
Date posted: May 7, 2019. Answers (1)
- ``Hakuna aliyeweza kukitegua kitendawili chenyewe lakini…’’
a)Eleza muktadha wa dondoo hili.
b) Tambua tamathali ya usemi iliyotumiwa katika dondoo hili.
c) Fafanua chanzo na hatima ya kitendawili kinachorejelewa...(Solved)
``Hakuna aliyeweza kukitegua kitendawili chenyewe lakini…’’
a)Eleza muktadha wa dondoo hili.
b) Tambua tamathali ya usemi iliyotumiwa katika dondoo hili.
c) Fafanua chanzo na hatima ya kitendawili kinachorejelewa katika dondoo hili.
d) Eleza wasifu wa warejelewa katika dondoo hili.
Date posted: May 6, 2019. Answers (1)
- ‘… lakini shogake… shogake… shogake dada nikamwona ana ndevu.’
a) Eleza muktadha wa dondoo hili
b) Bainisha sifa tatu za ‘shoga’ anayezungumziwa katika dondoo hili.
c) Jadili umuhimu...(Solved)
‘… lakini shogake… shogake… shogake dada nikamwona ana ndevu.’
a) Eleza muktadha wa dondoo hili
b) Bainisha sifa tatu za ‘shoga’ anayezungumziwa katika dondoo hili.
c) Jadili umuhimu wa ‘dada’ anayerejelewa katika kuendeleza dhamira ya hadithi.
Date posted: May 6, 2019. Answers (1)
- Fafanua jinsi mwandishi wa ‘Tumbo Lisiloshiba’ alivyotumia kinaya kufanikisha maudhui yake(Solved)
Fafanua jinsi mwandishi wa ‘Tumbo Lisiloshiba’ alivyotumia kinaya kufanikisha maudhui yake
Date posted: May 6, 2019. Answers (1)
- Fafanua changamoto zinazokabili asasi ya ndoa ukirejelea hadithi ya Masharti ya kisasa(Solved)
Fafanua changamoto zinazokabili asasi ya ndoa ukirejelea hadithi ya Masharti ya kisasa
Date posted: May 6, 2019. Answers (1)