Riwaya ya kidagaa kimemwozea inaonyesha jitihada za vijana kujenga jamii mpya. Thibitisha kwa kutoa mifano

      

Riwaya ya kidagaa kimemwozea inaonyesha jitihada za vijana kujenga jamii mpya. Thibitisha kwa kutoa mifano

  

Answers


sharon
v Madhubuti anachagua kujitafutia kazi badala ya ile babake alimtafutia jeshini.
v Imani alikunywa maji ya Mto kiberenge na kuvunja mwiko uliokuwepo.
- Imani aliwalea watoto walemavu wa Dora na Majisifu.
- Amani aligawa shamba lao kwa watu wengi.
- Amani na Imani walilea kitoto uhuru badala ya kukitupa.
- Amani anamwokoa Mtemi Nasaba Bora hata baada ya Mtemi Nasaba Bora kumpiga na kumtupa.
- Amani na Madhubuti walishirikiana kutafuta ushahidi uliofanya Yusufu aachiliwe.
- Amani alikataa kuchukua uongozi baada ya Mtemi Nasaba Bora kuondoka.
- Dj aliwasaidia Amani na Imani kupta kazi walipoenda Sokomoko.
- Madhubuti na Amani walishirikiana kuleta mabadiliko.
- Amani anamsahemehe Majisifu aliyeiba mswada wake.
- Amani anaamua kujenga nyumba yake mwenyewe.
sharon kalunda answered the question on October 1, 2019 at 09:40


Next: Identify occasions in Luke’s gospel when Jesus prayed.
Previous: Candle wax is an example of a hydrocarbon. a) What is a hydrocarbon b)Name the two products formed when hydrocarbons burn in oxygen.

View More Kiswahili Fasihi Questions and Answers | Return to Questions Index


Exams With Marking Schemes

Related Questions