"Kero hizi na dharau zinamfanya kuthamini zaidi utu wake ....."Ukirejelea hadithi "Damu nyeusi" Eleza muktadha wa dondoo hili.

      

"Kero hizi na dharau zinamfanya kuthamini zaidi utu wake ....."Ukirejelea hadithi "Damu nyeusi" Eleza muktadha wa dondoo hili.

  

Answers


sharon
Muktadha.
(i) Maneno ya mwandishi msimulizi.
(ii) Akimrejelea fikirini.
(iii) Akiwa ughaibuni.
(iv) Baada ya wanafunzi na mhadhiri mzungu kumuuliza maswali ya kumuumbua darasani.
sharon kalunda answered the question on October 1, 2019 at 10:01


Next: The diagram below shows Chromatograms for five different dyes.
Previous: Wafrika hupitia changamoto nyingi sana wakiwa masomoni ughaibuni. Thibitisha kauli hii ukirejelea hadithi "Damu nyeusi"

View More Kiswahili Fasihi Questions and Answers | Return to Questions Index


Exams With Marking Schemes

Related Questions