Wafrika hupitia changamoto nyingi sana wakiwa masomoni ughaibuni. Thibitisha kauli hii ukirejelea hadithi "Damu nyeusi"

      

Wafrika hupitia changamoto nyingi sana wakiwa masomoni ughaibuni. Thibitisha kauli hii ukirejelea hadithi "Damu nyeusi"

  

Answers


sharon
Changamoto za wasomi waafrika ughaibuni.
(i) Dereva mzungu kukataa kumbeba fikirini kwa kuwa ni mwafrika.
(ii) Kila aendapo, mwafrika anatuhumiwa kuwa mwizi.
(iii) Wasomi wa kiafrika kuulizwa maswali ya kuwaumbua.
(iv) Askari weupe kuwabagua wafrika na kuwakamata ovyo kwa makosa madogo madogo hivyo wafrika wasomi wamejaa magerezani.
(v) Waafrika wasomi kutuzwa alama duni na wahadhiri huku weupe wakipewa alama za juu zaidi.
(vi) Wafrika wa kimarekani kuwabagua wafrika wenzao waliotoka Afrika.
sharon kalunda answered the question on October 1, 2019 at 10:05


Next: "Kero hizi na dharau zinamfanya kuthamini zaidi utu wake ....."Ukirejelea hadithi "Damu nyeusi" Eleza muktadha wa dondoo hili.
Previous: Study the flow chart below and answer the questions that follow.

View More Kiswahili Fasihi Questions and Answers | Return to Questions Index


Exams With Marking Schemes

Related Questions