"Duniani kuna watu na viatu"

      

Tamthilia nzima ya Mstahiki Meya.
"Duniani kuna watu na viatu"
(a) Fafanua muktadha wa dondoo hili.
(b) Thibitisha ukweli wa kauli hii ukirejelea tamthilia nzima ya Mstahiki Meya.

  

Answers


sharon
a)i)Maneno haya ni ya Dida akijizungumzia
-Ni uzungumzi nafsia Nyumbani kwa Meya
-Alikumbuka namna wafanyakazi
-walivyofurushwa na askari walipokuwa warnegoma. Waliofurushwa ni viatu ilhaii waliofumsha ni watu
b) i) Maelezo ya dhana ya watu ni wale wanaostahiliwa katika jamii
Viatu ni wanaodunishwa / dhalilishwa katika jamii
Watu
i) Mstahiki Meya ni mtu kwani ana cheo, ulinzi, lishe bora, watoto wanasomea ng‘ambo, ana Riots Act, entertainment vote n.k.
ii) Diwani I na II washauri wanaosikizwa hawalipi kodi
iii) Bili - mshauri na rafiki mkubwa wa Meya anajilisha katika hoteli ya kajifahari
iv) Mhubiri - anapewa sadaka laki moja, anapewa mafuta ya gari
v) Askari - wanapewa uwezo wa kutumia bunduki na rungu wanaongezwa mishahara zozote 4x2 = 8
Viatu
i) Siki ni kiatu - haheshimiwi na Meya, mawaidha yake hayazingatiwi na Meya, anafukuzwa kutoka kwa Meya, hapewi vifaa vya kazi
ii) Waridi - mazingira duni na kazi, ahadi za hewa
iii) Wafanyikazi - mishahara duni, wanapogoma wanafurushwa kwa vitoa machozi, wanatozwa kodi
iv) Medi, Beka na tatu - hawasikizwi na Meya
v) Dida - anatusiwa na Meya
vi) Gedi - anatumwa kama boi
vii) Mama muuza ndizi - anatozwa kodi
viii) Mamake Dadavuo Kaole - anamlisha mtototwe makombo
- hamudu gharama ya matibabu
- mtoto ana utapiamlo
sharon kalunda answered the question on October 1, 2019 at 11:51


Next: Outline six instructions given to man by God in the creation stories.
Previous: Kuvunjwa kwa haki na sheria lilikuwa jambo la kawaida chini ya uongozi wa Mtemi Nasaba bora. Thibitisha ukweli wa Kauli hii ukirejelea riwaya ya Kidagaa...

View More Kiswahili Fasihi Questions and Answers | Return to Questions Index


Exams With Marking Schemes

Related Questions


  • Mwandishi wa tamthilia ya Mstahiki Meya ametumia wahusika kukuza kazi yake, Thibitisha kauii hili kwa kuwarejelea wahusika wafuatao.(Solved)

    Mwandishi wa tamthilia ya Mstahiki Meya ametumia wahusika kukuza kazi yake, Thibitisha kauii hili kwa kuwarejelea wahusika wafuatao.
    (i) Diwani wa tatu
    (ii) Bili
    (iii) Mhubiri
    (iv) Diwani I na II

    Date posted: October 1, 2019.  Answers (1)

  • Kila nikaapo hushika tama.(Solved)

    Kila nikaapo hushika tama
    Na kuwazia hali inayonizunguka.
    Huyawazia madhila
    Huziwazia shida
    Huiwazia dhiki

    Dhiki ya ulezi
    Shida ya kudhalilishwa kazini.
    Madhila ya kufanyiwa dharau
    Kwa sababu ya jinsia ya kike.

    Hukaa na kujidadisi
    Hujidadisi kujua kwa nini
    Jamii haikisikii kilio changu
    Wenzangu hawanishiki mikono
    Bali wananidharau kwa kuukosoa utamaduni

    Hukaa na kujiuliza
    I wapi raha yangu uiimwengu huu?
    I wapi jamaa nzima ya wanawake?

    MASWALI
    (a) Shairi hili ni la aina. gani? Eleza
    (b) Eleza dhamira ya mtunzi wa shairi hili.
    (c) Kwa kutolea mifano eleza maana ya mistari mishata.
    (d) Taja na ueleze tamathali mbili zilizotumika katika shairi hili.
    (e) Tambulisha nafsi-neni katika shairi hili.
    (f) Fafanua toni ya shairi hili.
    (g) Fafanua maudhui mawili ya shairi hili.
    (h) Onyesha namna nafasi neni anavyosalitiwa.
    (i) Eleza maana ya maneno haya kama yalivyotumiwa katika shairi.
    (i) Madhila
    (ii) Kudhalilishwa.

    Date posted: October 1, 2019.  Answers (1)

  • Wasiwasi n‘ondokeya, ondoka enenda zako,(Solved)

    Soma ushairi ufuatao kisha ujibu maswali.
    1. Wasiwasi n‘ondokeya, ondoka enenda zako,
    Ondoka andama ndiya, nondosheya uso wako,
    Ondoka wanisikiya, ziwate jeuri zako,
    Jishughulishe na yako, yangu wayatakiyani?

    2. Wasiwasi siitaki, suhuba yako si nzuri,
    Haistahamilikii, uovu umekithiri,
    Inganyoshwa hainyoki, ikukutene kikiri,
    Sikati yako shari, enda zako wasiwasi.

    3. Huna kazi ufanyayo, ela kuwafitinisha,
    Viumbe na zao nyoyo, vitina kuwagotanisha,
    Hiino ndio kaziyo, yenye kukufurahisha,
    Ni kazi isiyokuchosha, mno umeizoeya.

    4. Mara waja na habari, mambo yalivyo nyumbani,
    Ati mambo si mazuri, mambo yote tatashani,
    Wanitaka nifikiri, usemayo ni yakini,
    Nisononeke moyoni, upate kufurahika.

    5. Au mara hunijiya, na kingine kisahani,
    Kuhusu zao afiya, hao waliyo nyumbani,
    Huwa husishi nambiya, hali zao taabani,
    Zingawa wakati gani? Ni zako au ni zao?

    6. Na mara kuja mambiya, nitakapotoka humu,
    Na kwamba yaningojea, nde maisha magumu,
    Uliloni kusudiya, ni kunitiya wazimu,
    Kama ndiyo yako hamu, basi unshatahayari.

    (a) Eleza ujumbe uliojitokeza katika shairi hili.
    (b) Fafanua muundo wa ubeti wa tatu.
    (c) Eleza aina ya shairi hili.
    (d) Fafanua arudhi za utunzi alizozingatia mshairi.
    (e) Eleza toni ya mshairi.
    (f) Andika ubeti wa tano katika lugha ya kinathari.
    (g) Eleza mifano mitatu ya uhuru wa mshairi.
    (h) Eleza maana ya misamiati ifuatayokama ilivyotumika katika shairi.
    (i) ndiya
    (ii) kisahani
    (iii) nde

    Date posted: October 1, 2019.  Answers (1)

  • Ajaye kisimani mbele hunywa maji maenge, (Solved)

    Soma ushairi ufuatao kisha ujibu maswali.
    1. Ajaye kisimani mbele hunywa maji maenge,
    Asinywe yalo na vunju,
    Yakampa kigegezi,
    Yakamkibua roho akaona na kinyaa,
    Awali ndio awali, awali mbovu hamna.

    2. Kiwa utalimatia.
    Utayaramba makombo,
    Utadata vitu cheche,
    Kisomo chenye dhamana kikakupa kisogo,
    Inajuzu ujihimu
    Mwanafuu darasani,
    Urauka po mapema,
    Katu hutayaramba makombo,
    Hutakosa kisebeho.

    3. Dereva hata utingo,
    Natija ni asubuhi,
    Wateja utawawahi,
    Wasaa kuzingatia,
    Uwafikishe kazini,
    Kwa wasaa ufaao,
    Wasije wakateteshwa,
    Na bosi wao kazini,
    Nao wakakuapiza.

    4. Na ewe mwanazaraa,
    Mpini uukamate,
    Kabla jua kuwaka sana,
    Majasho kutiririsha mwilini,
    Yang‘oe yote magugu,
    Kutoka kwa lako konde.

    5. Mhadimu mwenye ajizi,
    Yakujuza ujihimu,
    Ununue na maziwa,
    Majogoo uyawahi mapema,
    Usije ukayadata,
    Chai mkandaa ukaandaa,
    Wateja wakuambae mithili ya ibilisi.

    Maswali
    (a) Eleza nasaha yoyote inayotolewa kwa wafanyakazi wowote watatu kwenye shairi.
    (b) Taja sifa zozote za kimuundo zilizotumiwa na mtunzi.
    (c) Eleza toni ya mshairi.
    (d) Nafsi nenewa anahimizwa kufanya nini.
    (e) Andika ubeti wa tatu kwa lugha tutumbi.
    (f) Toa mifano miwili ya uhuru wa mshairi.
    (g) Eleza maana ya misamiati ifuatayo kama ilivyotumiwa kwenye shairi.
    (i) Maji maenge
    (ii) Natija
    (iii) Majogoo

    Date posted: October 1, 2019.  Answers (1)

  • Jumuiya ya "Mstahiki Meya" inaafiki kwa kiasi kikubwa jamii ya kisasa. Thibitisha.(Solved)

    Jumuiya ya "Mstahiki Meya" inaafiki kwa kiasi kikubwa jamii ya kisasa. Thibitisha.

    Date posted: October 1, 2019.  Answers (1)

  • "Huu ni ukoloni mamboleo"(Solved)

    Mstahiki Meya
    "Huu ni ukoloni mamboleo"
    (a) Eleza muktadha wa dondoo hili.
    (b) Eleza umuhimu wa msemewa katika tamthilia hii.
    (c) Jadili namna ukoloni mamboleo unavyojitokeza katika tamthilia.

    Date posted: October 1, 2019.  Answers (1)

  • Kufariki kwa kitoto Uhuru ni jazanda inayoashiria hali halisi ya mambo riwayani "kidagaa kimemwozea". Jadili(Solved)

    Kufariki kwa kitoto Uhuru ni jazanda inayoashiria hali halisi ya mambo riwayani "kidagaa kimemwozea". Jadili.

    Date posted: October 1, 2019.  Answers (1)

  • "Kwa nini mnaifunga mnyororo ile doggy mgonjwa? Mbona msiiwache free".(Solved)

    Kidagaa kimemwozea
    "Kwa nini mnaifunga mnyororo ile doggy mgonjwa? Mbona msiiwache free".
    (a) Eleza muktadha wa dondoo hili.
    (b) Onyesha jinsi wahusika riwayani wamefungwa minyororo.
    (c) Minyororo inayorejelewa katika (b) hapo juu ilifunguliwaje?

    Date posted: October 1, 2019.  Answers (1)

  • Onyesha jinsi ukatili unavyojitokeza kwa kurejelea hadithi zifuatazo. (Solved)

    Onyesha jinsi ukatili unavyojitokeza kwa kurejelea hadithi zifuatazo.
    (i) Kanda la usufi
    (ii) Shaka ya mambo
    (iii) Mwana wa darubini
    (iv) Ndoa ya Samani.

    Date posted: October 1, 2019.  Answers (1)

  • Wafrika hupitia changamoto nyingi sana wakiwa masomoni ughaibuni. Thibitisha kauli hii ukirejelea hadithi "Damu nyeusi"(Solved)

    Wafrika hupitia changamoto nyingi sana wakiwa masomoni ughaibuni. Thibitisha kauli hii ukirejelea hadithi "Damu nyeusi"

    Date posted: October 1, 2019.  Answers (1)

  • "Kero hizi na dharau zinamfanya kuthamini zaidi utu wake ....."Ukirejelea hadithi "Damu nyeusi" Eleza muktadha wa dondoo hili.(Solved)

    "Kero hizi na dharau zinamfanya kuthamini zaidi utu wake ....."Ukirejelea hadithi "Damu nyeusi" Eleza muktadha wa dondoo hili.

    Date posted: October 1, 2019.  Answers (1)

  • Thibitisha jinsi anwani "Damu Nyeusi" inaafiki yaliyomo katika hadithi.(Solved)

    Thibitisha jinsi anwani "Damu Nyeusi" inaafiki yaliyomo katika hadithi.

    Date posted: October 1, 2019.  Answers (1)

  • Jadili matatizo KUMI ya kijamii ukirejelea hadithi "Mwana wa Darubini"(Solved)

    Jadili matatizo KUMI ya kijamii ukirejelea hadithi "Mwana wa Darubini"

    Date posted: October 1, 2019.  Answers (1)

  • "Sisi kama wazazi...........hukabiliana na mengi...........mara nyingi tabia zao hutupiga chenga........"(Solved)

    "Damu nyeusi na hadithi zingine"
    "Sisi kama wazazi...........hukabiliana na mengi...........mara nyingi tabia zao hutupiga chenga........"
    a) Weka dondoo hili katika muktadha wake
    b) Dhihirisha mbinu NNE za lugha zinazojitokeza katika dondoo hili
    c) Jadili yaliyomsibu mrejelewa.

    Date posted: October 1, 2019.  Answers (1)

  • Riwaya ya kidagaa kimemwozea inaonyesha jitihada za vijana kujenga jamii mpya. Thibitisha kwa kutoa mifano(Solved)

    Riwaya ya kidagaa kimemwozea inaonyesha jitihada za vijana kujenga jamii mpya. Thibitisha kwa kutoa mifano

    Date posted: October 1, 2019.  Answers (1)

  • "...........wanaume wangewastahi wanawake kidogo,.......dunia ingekuwa pahala pema zaidi pa kuishi.(Solved)

    kidagaa kimemwozea
    "...........wanaume wangewastahi wanawake kidogo,.......dunia ingekuwa pahala pema zaidi pa kuishi.
    a) Weka dondoo hili katika muktadha wake.
    b) Kwa kurejelea wahusika wanne, onyesha jinsi Mtemi Nasaba Bora anavyochangia kumkandamiza mwanamke.

    Date posted: October 1, 2019.  Answers (1)

  • Kwa kurejelea tamthilia ya Mstahiki Meya, fafanua vichocheo vya migogoro katika jamii ya Cheneo.(Solved)

    Kwa kurejelea tamthilia ya Mstahiki Meya, fafanua vichocheo vya migogoro katika jamii ya Cheneo.

    Date posted: October 1, 2019.  Answers (1)

  • "Hadi sasa sijaelewa kwa nini hakujitokeza kueleza hali ilivyo........Huenda hii ni dalili za..........."(Solved)

    "Mstahiki Meya"
    "Hadi sasa sijaelewa kwa nini hakujitokeza kueleza hali ilivyo........Huenda hii ni dalili za..........."
    a) Eleza muktadha wa dondoo hili.
    b) Fafanua masuala matano yanayofaa kuelezewa kuhusu hali inayorejelewa.
    c) Eleza umuhimu wa anayerejelewa
    d) Bainisha matumizi ya tamathali moja katika dondoo

    Date posted: October 1, 2019.  Answers (1)

  • Matambiko ni nini? Eleza dhima zake mbili.(Solved)

    Matambiko ni nini? Eleza dhima zake mbili.

    Date posted: October 1, 2019.  Answers (1)

  • Eleza maana ya maapizo.(Solved)

    Eleza maana ya maapizo.

    Date posted: October 1, 2019.  Answers (1)