Trusted since 2008
Study resources on Kenyaplex

Get ready-made curriculum aligned revision materials

Exam papers, notes, holiday assignments and topical questions – all aligned to the Kenyan curriculum.

Eleza matumizi ya ku katika jozi zifuatazo za sentensi.

Eleza matumizi ya ku katika jozi zifuatazo za sentensi.
(i) Kuchora kwao kulikuwa kwa uangalifu mkubwa
(ii) Nilikuita lakini hukuitika

Answers


sharon
(i) Kiambishi ngeli
(ii) -Kiambishi nafsi ya pili umoja
- Kiambisho cha kikanusha – wakati uliopita
sharon kalunda answered the question on October 2, 2019 at 07:48

Answer Attachments

Exams With Marking Schemes

Related Questions