Fafanua sifa zozote za lugha rasmi.(Solved)
Fafanua sifa zozote za lugha rasmi.
Date posted: October 3, 2019. Answers (1)
Jazapengo kwa kiulizi sahihi kisha uandike sentensi kwa wingi
Ni mpishi ________________ aliyepika(Solved)
Jazapengo kwa kiulizi sahihi kisha uandike sentensi kwa wingi
Ni mpishi ________________ aliyepika
Date posted: October 3, 2019. Answers (1)
Tumiavivumishi vya sifa katika mabanokukamilisha sentensi zifuatazo.
i. Mtoto Yule ni ______________________ (nene)
ii. Bei ya meli ni _____________________ mno (ghali)(Solved)
Tumiavivumishi vya sifa katika mabanokukamilisha sentensi zifuatazo.
i. Mtoto Yule ni ______________________ (nene)
ii. Bei ya meli ni _____________________ mno (ghali)
Date posted: October 3, 2019. Answers (1)
Eleza maana ya lugha rasmi.(Solved)
Eleza maana ya lugha rasmi.
Date posted: October 3, 2019. Answers (1)
Bainisha nomino hizi ni za aina gani.
i. Sukari.
ii. Mapenzi.(Solved)
Bainisha nomino hizi ni za aina gani.
i. Sukari.
ii. Mapenzi.
Date posted: October 3, 2019. Answers (1)
Andika kwa wingi sentensi hizi.
i. Goti la mtoto liliumia.
ii. Ukwato wa ngamia ni mpana(Solved)
Andika kwa wingi sentensi hizi.
i. Goti la mtoto liliumia.
ii. Ukwato wa ngamia ni mpana
Date posted: October 3, 2019. Answers (1)
Eleza maana ya msemo ufuatao :
Kula kitana.(Solved)
Eleza maana ya msemo ufuatao :
Kula kitana.
Date posted: October 3, 2019. Answers (1)
Soma shairi lifuatalo kisha ujibu maswali yafuatayo.
MAVAZI REKEBISHENI(Solved)
Soma shairi lifuatalo kisha ujibu maswali yafuatayo.
MAVAZI REKEBISHENI
MASWALI YA USHAIRI
(a) Shairi hili ni la aina gani?
(b) Eleza vina vya beti za kwanza mbili
(c) Toa kibwagizo cha shairi hili kisha ufafanue maana yake
(d) Eleza maana ya misamiati hii kama ilivyotumika katika ushairi
Staha –
Dhahiri –
Shani –
Duni
(e) Shairi hili liko katika bahari zipi?
f) Uhuru wa mshairiunadhihirikavipi katika shairi hili?
Date posted: October 3, 2019. Answers (1)
Andika katika usemi wa taarifa:
"Nataka ufikirie sana juu ya maisha yako ya ndoa. Sitaki uishi maisha yasiyo na mweleko." Babu alinishauri.(Solved)
Andika katika usemi wa taarifa:
"Nataka ufikirie sana juu ya maisha yako ya ndoa. Sitaki uishi maisha yasiyo na mweleko." Babu alinishauri.
Date posted: October 3, 2019. Answers (1)
Onyesha yambwa katika sentensi ifuatayo.(Solved)
Onyesha yambwa katika sentensi ifuatayo.
Mwamburi alitumia ufunguo kumfungulia Rashid mlango.
Date posted: October 2, 2019. Answers (1)
Eleza tofauti iliopo katika kauli zifuatazo.
Kutendeana na kutendana.(Solved)
Eleza tofauti iliopo katika kauli zifuatazo.
Kutendeana na kutendana.
Date posted: October 2, 2019. Answers (1)
Tunga sentensi kubainisha matumizi ya vivumishi vya nomino katika ngeli ya U – I; katika umoja na wingi.(Solved)
Tunga sentensi kubainisha matumizi ya vivumishi vya nomino katika ngeli ya U – I; katika umoja na wingi.
Date posted: October 2, 2019. Answers (1)
Ukitungia sentensi, onyesha matumizi ya vivumishi vya nomino.(Solved)
Ukitungia sentensi, onyesha matumizi ya vivumishi vya nomino.
Date posted: October 2, 2019. Answers (1)
Fafanua njia zozote tatu zinazotumiwa katika uundaji wa maneno.(Solved)
Fafanua njia zozote tatu zinazotumiwa katika uundaji wa maneno.
Date posted: October 2, 2019. Answers (1)
Andika katika udogo.
Jijipu lilipasuka lenyewe.(Solved)
Andika katika udogo.
Jijipu lilipasuka lenyewe.
Date posted: October 2, 2019. Answers (1)
Yakinisha katika umoja:
Msingalivumilia nyakati ile msingalipata zawadi kubwa.(Solved)
Yakinisha katika umoja:
Msingalivumilia nyakati ile msingalipata zawadi kubwa.
Date posted: October 2, 2019. Answers (1)
Tofautisha kwa mifano thabiti mbinu za litifati na tadmini kama zilivyotumika katika tamthilia ya kigogo.(Solved)
Tofautisha kwa mifano thabiti mbinu za litifati na tadmini kama zilivyotumika katika tamthilia ya kigogo.
Date posted: October 2, 2019. Answers (1)
ukombozi wa jamii yoyote unahitaji uvumilivu kupiga moyo konde .Thibitisha kauli hii ukirejelea tamthilia ya kigogo(Solved)
ukombozi wa jamii yoyote unahitaji uvumilivu kupiga moyo konde .Thibitisha kauli hii ukirejelea tamthilia ya kigogo
Date posted: October 2, 2019. Answers (1)
CHOZI LA HERI
Eleza jinsi mbinu ya majazi imetawala kazi ya kisanaa ya mwandishi wa chozi la heri.(Solved)
CHOZI LA HERI
Eleza jinsi mbinu ya majazi imetawala kazi ya kisanaa ya mwandishi wa chozi la heri.
Date posted: October 2, 2019. Answers (1)
Soma shairi hili kasha ujibu maswali yanayofuata.(Solved)
Soma shairi hili kasha ujibu maswali yanayofuata.
SABUNI YA ROHO
Ewe tunu ya mtima, kwa nini wanikimbia?
Ndiwe suluhu la zama, waja wa kukimbilia,
Waja wana kutazama, madeni wakalipia,
Ndiwe sabuni ya roho, ndiwe mvunja mlima.
Ndiwe mafuta ya roho, walisema wa zamani,
Utanunua majoho, majumba na nyumbani
Umezitakasa roho, umekuwa mhisani,
Ndiwe sabuni ya roho, ndiwe mvunja mlima.
Matajiri wakujua, wema wako wameonja,
Nguo zao umefua, wakupata kwa ujanja,
Sura zao mefufua,wanazuru kila Nyanja,
Ndiwe sabuni ya roho, ndiwe mvunja mlima.
Ndiwe mvunja mlima, onana na maskini,
Watazame mayatima, kwao kumekua wa duni,
Wabebe waliokwama, wainue waliochini,
Ndiwe sabuni ya roho, ndiwe mvunja mlima.
Ndiwe mvunja mlima, wapi kupata uwezo?
Umezua uhasama, waja kupata mizozo
Ndiwe chanzo cha zahama, umewaitia vikwamizo,
Ndiwe sabuni ya roho, ndiwe mvunja mlima.
Umevunja usuhuba, familia zazozana,
Walokuwama habuba, kila mara wagombana,
Roho zao umekaba, majumbani wa chinjana,
Ndiwe sabuni ya roho, ndiwe mvunja mlima.
Nakutafuta kwa hamu, sabuni unirehemu,
Sinilipue ja bomu, sije kawa marehemu,
Niondoe jehanamu, ya ufukara wa sumu,
Ndiwe sabuni ya roho, ndiwe mvunja mlima.
Naondoka wangu moyo, nikuitapo itika,
Fulusi wacha uchoyo, tatua yalonifika,
Nichekeshe kibogoyo, name nipate kuwika,
Ndiwe sabuni ya roho, ndiwe mvunja mlima
Maswali
a) Mshairi anaongea na nani katika shairi hili?
.
b) Taja majina mengine matatu aliyopewa huyu anayesemeshwa
c) Anayezungumziwa katika shairi hili anasababisha balaa gani?
d) Mshairi anatoa mwito gani kwa mwenziwe?
e) Fafanua maudhui ya ubeti wa sita.
f) Mbinu kadha za uandishi zimetumiwa na msanii kuwasilisha ujumbe wake. Taja mbinu zozote tatu na uzitolee mifano katika shairi.
g) Fafanua maana ya : sura zao ’mefufua, wanazuru kila nyanja’
h) Andika ubeti wa saba katika lugha nathari.
Date posted: October 2, 2019. Answers (1)