Andika katika ukubwa. i. Jiji hili litapanuka upesi ii. Jizee lililokosa adabu limekaripiwa.

      

Andika katika ukubwa.

i. Jiji hili litapanuka upesi.

ii. Jizee lililokosa adabu limekaripiwa.

  

Answers


Martin
i)Majiji haya yatapanuka upesi.

ii)Majizee yaliyokosa adabu yamekaripiwa.


marto answered the question on October 3, 2019 at 05:34


Next: (i)David was shaken when the counselor told him that his problem was______________(solve)
Previous: Geuza sentensi zifuatazo katika hali ya usemi halisi. i. Ruhenialishauliwa na kasisiaache tabia mbaya. ii. Mwalimu alimwabiapremjiafanye bidii katika masomo yake.

View More Kiswahili Questions and Answers | Return to Questions Index


Exams With Marking Schemes

Related Questions