Geuza sentensi zifuatazo katika hali ya usemi halisi. i. Ruhenialishauliwa na kasisiaache tabia mbaya. ii. Mwalimu alimwabiapremjiafanye bidii katika masomo yake.

      

Geuza sentensi zifuatazo katika hali ya usemi halisi.

i. Ruhenialishauliwa na kasisiaache tabia mbaya.

ii. Mwalimu alimwabiapremjiafanye bidii katika masomo yake.

  

Answers


Martin
i)“Ruheni, wacha tabia mbaya.” Kasisi alimushauri.

ii)“ Premji, fanya bidii katika masomo yako.” Mwalimu alimwabia
marto answered the question on October 3, 2019 at 05:36


Next: Andika katika ukubwa. i. Jiji hili litapanuka upesi ii. Jizee lililokosa adabu limekaripiwa.
Previous: (i) The quieter of the three babies fell asleep before the others

View More Kiswahili Questions and Answers | Return to Questions Index


Exams With Marking Schemes

Related Questions