Eleza sifa za lugha ya hotelini.

      

Eleza sifa za lugha ya hotelini.

  

Answers


Martin
i. Kuna kutaja bei.

ii. Matumizi ya lugha ya heshima.

iii. Huwa na sentensi fupi fupi.

iv. Huwa na msamiati maalum kama vile, chakula, chai, soda nk.

v. Wakati mwingini huashiria amrisho
marto answered the question on October 3, 2019 at 05:46


Next: Figure below shows a bulb connected across a 6v supply through a resistance wire XY of length 25m Compare and explain the brightness of the bulb...
Previous: Mtemi Nasaba Bora ni kielelezo cha viongozi wa kiafrika wanaondeleza uongozi mbaya. Jadili kauli hii.

View More Kiswahili Questions and Answers | Return to Questions Index


Exams With Marking Schemes

Related Questions