Get premium membership and access questions with answers, video lessons as well as revision papers.

"Wananchi hoyee! Round hii kura ni zetu wapende wasipende..."

      

"Wananchi hoyee! Round hii kura ni zetu wapende wasipende..."
i) Tambua sajili hii
ii) Fafanua sifa tano za sajili husika.

  

Answers


sharon
i) Sajili ya siasa alama
ii) Msamiati wa pekee - kura
- Imejaa ahadi nyingi - kuimarisha miradi ya maji n.k.
- Kuchanganya ndimi
- Lugha ya majisifu
- Lugha.ya matusi kwa wapinzani Lugha ya kushawishi
- Matumizi ya viziada lugha - mikono,
- Lugha ya majibizano na hadhira
- Lugha ya chuku
- Matumizi ya nyimbo
- Kuna kuhamisha msimbo
- Lugha si sanifu
- Lugha yenye utani na kadhalika.
sharon kalunda answered the question on October 3, 2019 at 09:38


Next: (a) In a laboratory exercise a student observing a drop of pond water under a microscope saw and drew a spirogyra. If the magnification of...
Previous: Eleza maana ya Pijini.

View More Kiswahili Questions and Answers | Return to Questions Index


Learn High School English on YouTube

Related Questions