Hali ya "a"
sharon kalunda answered the question on October 3, 2019 at 11:40
- Tumia kitenzi "amerudi" kuonyesha dhana tatu za kiimbo.(Solved)
Tumia kitenzi "amerudi" kuonyesha dhana tatu za kiimbo.
Date posted: October 3, 2019. Answers (1)
- Taja kitamkwa chenye sifa ifuatazo.
Nazali ghuna ya midomo.(Solved)
Taja kitamkwa chenye sifa ifuatazo.
Nazali ghuna ya midomo.
Date posted: October 3, 2019. Answers (1)
- Eleza maana ya Pijini.(Solved)
Eleza maana ya Pijini.
Date posted: October 3, 2019. Answers (1)
- "Wananchi hoyee! Round hii kura ni zetu wapende wasipende..."(Solved)
"Wananchi hoyee! Round hii kura ni zetu wapende wasipende..."
i) Tambua sajili hii
ii) Fafanua sifa tano za sajili husika.
Date posted: October 3, 2019. Answers (1)
- Sahihisha :
Mwanafunzi alipogonjeka alienda katika hospitalini.(Solved)
Sahihisha :
Mwanafunzi alipogonjeka alienda katika hospitalini.
Date posted: October 3, 2019. Answers (1)
- Yakinisha :
Nisipopita mtihani mwalimu hatafurahi.(Solved)
Yakinisha :
Nisipopita mtihani mwalimu hatafurahi.
Date posted: October 3, 2019. Answers (1)
- Changanua sentensi ifuatayo ukitumia mistari au mishale
Yusuf alikuwa mhubiri hodari sana.(Solved)
Changanua sentensi ifuatayo ukitumia mistari au mishale
Yusuf alikuwa mhubiri hodari sana.
Date posted: October 3, 2019. Answers (1)
- Tunga sentensi ukitumia yambwa tendwa na yambwa tendewa.(Solved)
Tunga sentensi ukitumia yambwa tendwa na yambwa tendewa.
Date posted: October 3, 2019. Answers (1)
- Andika sentensi ifuatayo katika hali ya wastani.
Kijumba hiki kilijengwa karibu na kijiji.(Solved)
Andika sentensi ifuatayo katika hali ya wastani.
Kijumba hiki kilijengwa karibu na kijiji.
Date posted: October 3, 2019. Answers (1)
- Onyesha kiima na kiarifa katika sentensi ifuatayo:
Kitabu chake kilianguka majini.(Solved)
Onyesha kiima na kiarifa katika sentensi ifuatayo:
Kitabu chake kilianguka majini.
Date posted: October 3, 2019. Answers (1)
- Andika sentensi ifuatayo katika usemi wa taarifa.
"Kazi yako itamalizika kesho." Tajiri alimwambia mwajiriwa.(Solved)
Andika sentensi ifuatayo katika usemi wa taarifa.
"Kazi yako itamalizika kesho." Tajiri alimwambia mwajiriwa.
Date posted: October 3, 2019. Answers (1)
- Onyesha matumizi ya kiambishi "ni" katika sentensi ifuatayo:
Maria ni mpole ndio maana ninapenda kwenda kwao.(Solved)
Onyesha matumizi ya kiambishi "ni" katika sentensi ifuatayo:
Maria ni mpole ndio maana ninapenda kwenda kwao.
Date posted: October 3, 2019. Answers (1)
- Onyesha kishazi huru na kishazi tegemezi katika sentensi hii
Ijapokuwa kulikuwa na joto kali niliondoka kwenda sokoni.(Solved)
Onyesha kishazi huru na kishazi tegemezi katika sentensi hii
Ijapokuwa kulikuwa na joto kali niliondoka kwenda sokoni.
Date posted: October 3, 2019. Answers (1)
- Andika vitenzi vifuatavyo katika mnyambuliko uliopewa.
i) kunja (tendeka)
ii) la (tendesheana)(Solved)
Andika vitenzi vifuatavyo katika mnyambuliko uliopewa.
i) kunja (tendeka)
ii) la (tendesheana)
Date posted: October 3, 2019. Answers (1)
- Andika sentensi ifuatayo katika wakati ujao hali ya kuendelea.
Juma anafundisha katika shule hii.(Solved)
Andika sentensi ifuatayo katika wakati ujao hali ya kuendelea.
Juma anafundisha katika shule hii.
Date posted: October 3, 2019. Answers (1)
- Andika sentensi ifuatayo upya kwa kufuata maagizo uliyopewa.
Yaya alimpikia mtoto chakula kitamu.
Anza : chakula……(Solved)
Andika sentensi ifuatayo upya kwa kufuata maagizo uliyopewa.
Yaya alimpikia mtoto chakula kitamu.
Anza : chakula……
Date posted: October 3, 2019. Answers (1)
- Uzi iko kwa ngeli gani?(Solved)
Uzi iko kwa ngeli gani?
Date posted: October 3, 2019. Answers (1)
- Weka "kiziwi" kwa ngeli yake.(Solved)
Weka "kiziwi" kwa ngeli yake.
Date posted: October 3, 2019. Answers (1)
- Tumia neno "Nairobi" katika sentensi kama : (Solved)
Tumia neno "Nairobi" katika sentensi kama :
i) Nomino
ii) Kielezi
Date posted: October 3, 2019. Answers (1)
- Tunga sentesi moja kutofautisha maana ya:
ngoma
goma(Solved)
Tunga sentesi moja kutofautisha maana ya:
ngoma
goma
Date posted: October 3, 2019. Answers (1)