Onyesha shamirisho katika sentensi ifuatayo. Wanafunzi walikatiwa keki na mwalimu kwa kisu.

      

Onyesha shamirisho katika sentensi ifuatayo.
Wanafunzi walikatiwa keki na mwalimu kwa kisu.

  

Answers


sharon
Kipozi - Keki
Kitondo - wanafunzi
Ala - Kisu
sharon kalunda answered the question on October 3, 2019 at 12:05


Next: The following information was extracted from Kabuni farm for the month ended January 2009. Study it and use it to answer the questions that follow.01/01/09...
Previous: The following information was extracted from Mr. Njeru’s farm record on 31/12/2013. Use the information below to answer the questions. ...

View More Kiswahili Questions and Answers | Return to Questions Index


Exams With Marking Schemes

Related Questions