Eleza matumizi ya “na” katika sentensi ifuatayo. Wageni na wenyeji walikimbiliana.

      

Eleza matumizi ya “na” katika sentensi ifuatayo.
Wageni na wenyeji walikimbiliana.

  

Answers


Kavungya
na – kiunganishi
na – kauli ya kutendeana

Kavungya answered the question on October 3, 2019 at 13:07


Next: Changanua sentensi ifuatayo kwa kutumia jedwali. Ouma alianguka mtihani ila Kamau alifuzu vizuri.
Previous: "Dhiki mbalimbali zimekuwapo lakini heri nusu shari kuliko shari kamili".

View More Kiswahili Questions and Answers | Return to Questions Index


Exams With Marking Schemes

Related Questions