Bainisha kiima na chagizo katika sentensi ifuatayo. Walimu hao walifanya kazi yao kwa bidii.

      

Bainisha kiima na chagizo katika sentensi ifuatayo.
Walimu hao walifanya kazi yao kwa bidii.

  

Answers


Kavungya
Walimu hao – kiima
Kwa bidii – chagizo
Kavungya answered the question on October 3, 2019 at 13:14


Next: Highlight the factors to be considered when constructing consumer price index
Previous: State ways in which a country will benefit from increased business activities

View More Kiswahili Questions and Answers | Return to Questions Index


Exams With Marking Schemes

Related Questions