Ainisha maneno yaliyopigiwa mstari. Naam! Amekaa kabla ya mkurungezi mkuu yule.

      

Ainisha maneno yaliyopigiwa mstari.
Naam! Amekaa kabla ya mkurungezi mkuu yule.

  

Answers


sharon
Naam – kihisishi (I)
kabla ya – kihusishi (H)
Yule – kivumishi kiashiria (V)
sharon kalunda answered the question on October 4, 2019 at 05:29


Next: Yakinisha sentensi hii: Hajanivunjia mlango wala kuniibia
Previous: Andika sentensi hii katika usemi wa taarifa" Nitampokea mjomba iwapo nitampata," Rehema alimwambia shangazi yake.

View More Kiswahili Questions and Answers | Return to Questions Index


Exams With Marking Schemes

Related Questions