Andika sentensi hii katika usemi wa taarifa" Nitampokea mjomba iwapo nitampata," Rehema alimwambia shangazi yake.

      

Andika sentensi hii katika usemi wa taarifa
" Nitampokea mjomba iwapo nitampata," Rehema alimwambia shangazi yake.

  

Answers


sharon
Rehema alimwambia shangazi yake kuwa angempokea mjomba iwapo angempata.
sharon kalunda answered the question on October 4, 2019 at 05:32


Next: Ainisha maneno yaliyopigiwa mstari. Naam! Amekaa kabla ya mkurungezi mkuu yule.
Previous: Ilikuwa Jumamosi. Nilifika nyumbani kwangu saa moja jioni. Tangu nistaafu miakamiwili awali sikupenda kuchelewa Taarifa ya Habari. Mwezi mmoja...

View More Kiswahili Questions and Answers | Return to Questions Index


Exams With Marking Schemes

Related Questions