Andika sentensi tatu ambazo zaweza kuwa sahihisho la sentensi hii:- Kule ndimo alipoingia

      

Andika sentensi tatu ambazo zaweza kuwa sahihisho la sentensi hii:-
Kule ndimo alipoingia

  

Answers


Maurice
i)Kule ndiko alikoingia

ii) Pale ndipo alipoingia

iii) mle ndimo alimoingia
maurice.mutuku answered the question on October 4, 2019 at 13:32


Next: RIWAYA. K Walibora: Kidagaa Kimemwozea. “Kama ilivyo ada yake usiku uliotangulia alikuwa kenda kwa shughuli fulani alizoziita kusuluhisha mgogoro wa ardhi.” Eleza migogoro inayojidhihirisha katika riwaya ya Kidagaa...
Previous: Jaza viashiria vya uradidi vya mbali kidogo. i) Mbuzi – ii) Gazeti –

View More Kiswahili Questions and Answers | Return to Questions Index


Exams With Marking Schemes

Related Questions