Kanusha. Wanafunzi wale wala wakiongea.

      

Kanusha.
Wanafunzi wale wala wakiongea.

  

Answers


sharon
Wanafunzi wale hawali wakiongea
sharon kalunda answered the question on October 4, 2019 at 13:38


Next: Tunga sentensi mbili kuonyesha matumizi mawili ya po – ya wakati.
Previous: “Damu Nyeusi.” (K Walibora) “Tangu hapo ameendelea kuwa mwanafunzi mzuri ... Amejifunza kuwa hakuna mahali kama nyumbani.” (i) Eleza muktadha wa dondoo hili. (ii) Bainisha mifano mitatu ya...

View More Kiswahili Questions and Answers | Return to Questions Index


Exams With Marking Schemes

Related Questions