(i) Kobe alitaka kupaa angani. Ni Bwana Mtajika alipotaka uongozi wa nehi ya tekede.
(ii) ndege walishirikiana na kobe kwa kumpa manyoya iii apate mbawa. Wanatekeda walishirkiana katika
kumchagua Bwana mtajika kuwa kiongozi.
(iii) Kobe alipofika angani alijipajina Sisa wote akachukua chochote kilicholetwa kwa ajili ya wote.
Bw Mtajika alijaa ubinafsi akajilimbikizia mali na kuacha raia kwa njaa, umaskini na magonjwa.
(iv) Waliokuwa karibu na Kobe walibahatika kupata masalio (waliomfaa) Marafiki wachache wa Mtajika
kama Bw. Machupa ndio walinufaika kutokana na uongozi wake.
(v) Ndege waliamua kumnyonyoa Kobe manyoya yao na kumwacha arudi ardhini. Raia waliudhishwa na Bw. Mtajika kwa kutowajali na wakatumia kura zao kumwangusha.
(vi) Nani asiyeona gamba lake Bw Mtaj ika alipoondolewa mmlakani aliaibika na kushindwa kufurahia maisha.
Kavungya answered the question on October 4, 2019 at 13:42
- “Damu Nyeusi.” (K Walibora)
“Tangu hapo ameendelea kuwa mwanafunzi mzuri ... Amejifunza kuwa hakuna mahali kama nyumbani.”
(i) Eleza muktadha wa dondoo hili.
(ii) Bainisha mifano mitatu ya...(Solved)
“Damu Nyeusi.” (K Walibora)
“Tangu hapo ameendelea kuwa mwanafunzi mzuri ... Amejifunza kuwa hakuna mahali kama nyumbani.”
(i) Eleza muktadha wa dondoo hili.
(ii) Bainisha mifano mitatu ya mbinu rejeshi na kiini cha mifano hiyo katika hadithi.
Date posted: October 4, 2019. Answers (1)
- Kanusha.
Wanafunzi wale wala wakiongea.(Solved)
Kanusha.
Wanafunzi wale wala wakiongea.
Date posted: October 4, 2019. Answers (1)
- Tunga sentensi mbili kuonyesha matumizi mawili ya po – ya wakati.(Solved)
Tunga sentensi mbili kuonyesha matumizi mawili ya po – ya wakati.
Date posted: October 4, 2019. Answers (1)
- Viongozi wa Cheneo walionekana kutowajibika. Thibitisha kauli hii kwa kurejelea Tamthilia yote.(Solved)
Viongozi wa Cheneo walionekana kutowajibika. Thibitisha kauli hii kwa kurejelea Tamthilia yote.
Date posted: October 4, 2019. Answers (1)
- Jaza viashiria vya uradidi vya mbali kidogo.
i) Mbuzi –
ii) Gazeti –(Solved)
Jaza viashiria vya uradidi vya mbali kidogo.
i) Mbuzi –
ii) Gazeti –
Date posted: October 4, 2019. Answers (1)
- Andika sentensi tatu ambazo zaweza kuwa sahihisho la sentensi hii:-
Kule ndimo alipoingia(Solved)
Andika sentensi tatu ambazo zaweza kuwa sahihisho la sentensi hii:-
Kule ndimo alipoingia
Date posted: October 4, 2019. Answers (1)
- RIWAYA.
K Walibora: Kidagaa Kimemwozea.
“Kama ilivyo ada yake usiku uliotangulia alikuwa kenda kwa shughuli fulani alizoziita kusuluhisha mgogoro wa ardhi.”
Eleza migogoro inayojidhihirisha katika riwaya ya Kidagaa...(Solved)
RIWAYA.
K Walibora: Kidagaa Kimemwozea.
“Kama ilivyo ada yake usiku uliotangulia alikuwa kenda kwa shughuli fulani alizoziita kusuluhisha mgogoro wa ardhi.”
Eleza migogoro inayojidhihirisha katika riwaya ya Kidagaa Kimemwozea.
Date posted: October 4, 2019. Answers (1)
- Ainisha nomino zilizopigiwa mstari katika sentensi ifuatayo;
Kikosi cha askari kiliwanasa wezi waliohusika katika wizi wa ng‘ombe katika tarafa ya kindondoni.(Solved)
Ainisha nomino zilizopigiwa mstari katika sentensi ifuatayo;
Kikosi cha askari kiliwanasa wezi waliohusika katika wizi wa ng‘ombe katika tarafa ya kindondoni.
Date posted: October 4, 2019. Answers (1)
- Andika kinyume
Wavulana watatu wanaingia darasani kwa haraka.(Solved)
Andika kinyume
Wavulana watatu wanaingia darasani kwa haraka.
Date posted: October 4, 2019. Answers (1)
- RIWAYA.
K Walibora: Kidagaa Kimemwozea.
“Naam walisimuliana kumhusu msichana ambaye alipindua mtazamo wa wengi kuelekea watu waitwao walemavu.”
a) Eleza jinsi msichana anayerejelewa alivyoleta mabadiliko ya mtazamo.
b)...(Solved)

b) Fafanua kwa kutolea mifano mtazamo wa watu kwa walemavu kabla ya msichana kuleta mapinduzi katika riwaya ya kidagaa.
c) Kwa kutolea mifano mingine, fafanua maudhui ya utengano.
Date posted: October 4, 2019. Answers (1)
- Badilisha sentensi ifuatayo iwe mazoea kwa kutumia kirejeshi “O”
Mtoto anayelia huchapwa(Solved)
Badilisha sentensi ifuatayo iwe mazoea kwa kutumia kirejeshi “O”
Mtoto anayelia huchapwa
Date posted: October 4, 2019. Answers (1)
- Soma shairi lifuatalo kisha uyajibu maswali.Mungu naomba subira, subira nayo imaniImani iliyo bora, bora hapa dunianiDuniani mwa kombora, kombora nayo hianiHiani pamwe ukora wenye kuhini.Kuhini...(Solved)
Soma shairi lifuatalo kisha uyajibu maswali.
Mungu naomba subira, subira nayo imani
Imani iliyo bora, bora hapa duniani
Duniani mwa kombora, kombora nayo hiani
Hiani pamwe ukora wenye kuhini.
Kuhini kwenye kiburi, kiburi na ufidhulu
Ufidhuli wa kudhuri, kudhuri wangu muwili
Muwili hata kiclari, kidari kuwa thakili
Thakili kisinawiri, kisinawiri misuli.
Misuli kuwa hafith, hafifu kama muwele
Muwele wa hitilafu, hitilafi ya nduwele
Nduwele kutakilifu, kutakilifu milele
Milele kutoniafu, kutoniafu na vishale.
Vishale vinitomele, vitomele vikwato
Vikwato pia maole, maole kufanya mito
Mito ya matozi tele, tele mithili kitoto
Kitoto kilo vipele, vipele vyenye fiakuto.
Fukuto lanipa neno, neno hili kutamka
Kutamka wazi vino, vino subira kutaka
Kutaka imani mno, mno n’sipate wahaka
Wahaka wa matukano, matukano na mashaka.
Mashaka haya ya leo, leo yawe yamepita
Yaniepita na vilio, vilia vipishe nyota
Nyota njema ing’arao, ing’arao kunikita
Kunikita salamani, salamani nikadata.
a) Kwa nini nafsi neni inaomba subira na amani?
b) Shairi hili ni la aina gani kwa kuzingatia
(i) Mpangilio wa maneno
(ii) Mpangilio wa vina.
c) Kwa kutolea mifano eleza mbinu mbili za lugha zilizotumika katika shairi
d) Andika ubeti wa tatu kwa lugha nathari.
e) Kwa kutolea mifano, eleza jinsi uhuru wa kishairi ulivyotumiwa kutekeleza arudhi
Date posted: October 4, 2019. Answers (1)
- Tumia amba – rejeshi na nomino ulizopewa katika sentensi kuonyesha upatanisho wa kisarufi.
i) ukwenzi
ii) sandukuni.(Solved)
Tumia amba – rejeshi na nomino ulizopewa katika sentensi kuonyesha upatanisho wa kisarufi.
i) ukwenzi
ii) sandukuni.
Date posted: October 4, 2019. Answers (1)
- Bainisha mofimu katika neno hili;
Alinizindusha(Solved)
Bainisha mofimu katika neno hili;
Alinizindusha
Date posted: October 4, 2019. Answers (1)
- Taja ngeli za nomino zifuatazo;
i) Muundo
ii) Senti.(Solved)
Taja ngeli za nomino zifuatazo;
i) Muundo
ii) Senti.
Date posted: October 4, 2019. Answers (1)
- Tumia neno kitoto kama;
i) kivumishi
ii) kielezi(Solved)
Tumia neno kitoto kama;
i) kivumishi
ii) kielezi
Date posted: October 4, 2019. Answers (1)
- Taja na ueleze pingamizi zozote tano zinazokwamiza juhudi za kukuza Kiswahili (Solved)
Taja na ueleze pingamizi zozote tano zinazokwamiza juhudi za kukuza Kiswahili
Date posted: October 4, 2019. Answers (1)
- Andika katika ukubwa wingi.
Ukitaka kumla nguruwe chagua aliyenona.(Solved)
Andika katika ukubwa wingi.
Ukitaka kumla nguruwe chagua aliyenona.
Date posted: October 4, 2019. Answers (1)
- Changanua sentensi hii kwa kutumia kielelezo cha visanduku.
Mzee aliyemdhulumu msichana yule ametiwa mbaroni tena.(Solved)
Changanua sentensi hii kwa kutumia kielelezo cha visanduku.
Mzee aliyemdhulumu msichana yule ametiwa mbaroni tena.
Date posted: October 4, 2019. Answers (1)
- Eleza juhudi zozote tano za serikali ya Kenya katika kukuza Kiswahili (Solved)
Eleza juhudi zozote tano za serikali ya Kenya katika kukuza Kiswahili
Date posted: October 4, 2019. Answers (1)