KIKAZA. ‘Wenzangu wote mwafahamu hadithi ya kobe?’ Mzee babu aliuliza. Wote walijibu, “ndio Eleza umuhimu wa hadithi ya kobe ukirejelea hadithi ya Kikaza.

      

KIKAZA.
‘Wenzangu wote mwafahamu hadithi ya kobe?’ Mzee babu aliuliza. Wote walijibu, “ndio
Eleza umuhimu wa hadithi ya kobe ukirejelea hadithi ya Kikaza.

  

Answers


Kavungya
(i) Kobe alitaka kupaa angani. Ni Bwana Mtajika alipotaka uongozi wa nehi ya tekede.
(ii) ndege walishirikiana na kobe kwa kumpa manyoya iii apate mbawa. Wanatekeda walishirkiana katika
kumchagua Bwana mtajika kuwa kiongozi.
(iii) Kobe alipofika angani alijipajina Sisa wote akachukua chochote kilicholetwa kwa ajili ya wote.
Bw Mtajika alijaa ubinafsi akajilimbikizia mali na kuacha raia kwa njaa, umaskini na magonjwa.
(iv) Waliokuwa karibu na Kobe walibahatika kupata masalio (waliomfaa) Marafiki wachache wa Mtajika
kama Bw. Machupa ndio walinufaika kutokana na uongozi wake.
(v) Ndege waliamua kumnyonyoa Kobe manyoya yao na kumwacha arudi ardhini. Raia waliudhishwa na Bw. Mtajika kwa kutowajali na wakatumia kura zao kumwangusha.
(vi) Nani asiyeona gamba lake Bw Mtaj ika alipoondolewa mmlakani aliaibika na kushindwa kufurahia maisha.
Kavungya answered the question on October 4, 2019 at 13:42


Next: “Damu Nyeusi.” (K Walibora) “Tangu hapo ameendelea kuwa mwanafunzi mzuri ... Amejifunza kuwa hakuna mahali kama nyumbani.” (i) Eleza muktadha wa dondoo hili. (ii) Bainisha mifano mitatu ya...
Previous: Eleza maana ya misemo ifuatayo :- (i) Giza la ukata… (ii) Meza mate machungu

View More Kiswahili Questions and Answers | Return to Questions Index


Exams With Marking Schemes

Related Questions